Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Ww kweli chizi wa mwaka [emoji1787][emoji1787][emoji1787] hebu nitajie wasanii watatu tu wanaoimba amapiano?? Na unitajie ni producer gani wa kenya anatengeza beat za bongo fleva kwa miaka 5 hii
Hata nikakuwekea utabisha tu so no need
 
Umeulizwa tu vizuri since when did play kenyan mean ban tanzanian, try and be objective in your reasoning, your too sentimental
Unaposema ni lazima vyombo vya habari vitoe 75% Airtime kwa mziki wa Kenya, na kuacha 25% kwa mziki kutoka nje, katika nchi ambayo mziki wa Bongo unapata zaidi ya 60% Airtime hapo Kenya, hiyo maana yake ni "ban".

Ninyi mnajisifu kuwa mpo "Competitive in business", kwamba nguvu ya soko ndio iachwe ifanye KAZI, iweje mnaanza kutunga Sheria za kubana mziki wa Tanzania kuingia sokoni "freely?"
 
Mzee huko tulishatoka miaka mingi mno.
2020 to-date is just two years. Hizo miaka mingi sasa sijui ni gani.

Secondly, now that you have an issue with those figures, can you give me recent data showing Tanzania enjoys a balance of trade against Kenya. Isiwe tu ni maneno ya vijiweni
 
Wacha kuongea na feelings na mihemko bongolala. It won't change anything. Nimetaja Magufuli kutokana na yale aliyofanya kukwamisha traders na bidhaa za Kenya kuingia Tanzania. Hayo ya sijui ATCL na viwanda ni vijimaneno vya kujiliwaza coz hayana uhusiano wowote na bilateral trade kati ya Kenya na Tanzania which was my main point. Don't be driven by emotions in your arguments, you'll only look stupid!

Secondly, you can deny all you want but ukweli ni kwamba tunawauzia mostly finished products and data is there to support my argument. Wewe utashinda ukitaja Azam in every comment but you won't provide any data to support your arguments. You are just arguing for the sake of argument.

I'll give you one basic example of iron and steel (a finished product).
In 2021, Tanzania imported iron and steel products worth $25.97M from Kenya.


Wewe endelea kupiga domo
 
Hii wivu yake men ni mpya bana[emoji1787][emoji1787] so kwa akili zako timamu our biggest remittance na professionals wako saudia according to you?
Kumbe hata hujui kwanini yale makotena Qatar after world cup waliamua wagawiwe wakenya? πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Unskilled labor waliochangia sio ya kupuuzwa
 
How will I start engaging a person who doesn't know that rice is a raw material? Unaona sasa mahali mnakwamilia? Na bado mnataka ushindani na Kenya, nchi ambayo raia wake wanajua rice is a raw material na inawezatumika kutengeneza vitu kadhaa?

Just in case you didn't know bongolala, rice is used in making rice vinegar, rice noodles, rice bread, rice milk and sake among other things. So next time you see any of those products in your supermarket shelves, know that there's a high chance imetoka Kenya na imetengenezwa na mchele mliyotuuzia. Sawa bongolala?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…