Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Wizara ya elimu yachukua hatua muhimu juu ya kuzuia uenezaji wa sera ya mapenzi ya jinsia moja.. hatua hizi zinachukuliwa maksudi ili kulinda malezi ya mtoto wa kitanzania yanayofuata mila na desturi za kitanzania👇.
 
Sasa hivi nimesafiri nikirudi TZ June nitakutumia picha za burret train ufurahi kidogo [emoji4]
Of course tunajua 'burret' train ndio mko nayo, ila sisi tunangoja kuona bullet train 🚄
 
Leo nimepita soko la kisutu ukipita kwa karibu unaona kabisa ni soko zuri sana lingekua kunyaland lingeitwa morden hypermarket.

Aisee ile standard ni nzuri sana very clean, I hope mama afanye jambo na soko la buguruni. Linapendeza ukilinganisha na lile la kitambo plus wanauza vitu organic
 
Mimi niliwaambia mtu makazi yake kibera, analala na mavi ndani, hana uhakika wa kula hatamlo mmoja wa maana alafu utegemee awe na akili timamu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…