Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

the largest of the Lake Victoria's ports!
the longest electrical SGR in Africa!
The biggest hydro electric dam in EA community.

The biggest hotel in EA 1000 roms

The most popular and successful football club in EA SSC [emoji1787][emoji1787][emoji1787]

The kongest fibre optic network in EA

The list is endless
 
which net? one covered up with a hand palm while doing a bend over?? mbuchi ya wapii hii? biashara kweupeee?? Ila imekaa nzee!!!mama yake mtu member wa Kundustan humu ndani!
Stop looking at unnecessary things and focus
 
Sisi ndio wazee wa hizi kazi tulieni ngoma bado mbichi, we unavyoona hapo kuna mlango ambao abiria watapita?
🀣 🀣 🀣 🀣 Eti train itaingia ndani ya station kama ulaya. Woiiiiiii🀣🀣🀣🀣
 
Tuko 2023 unatuletea picha za 70's 🀣 🀣 🀣 🀣 Kubali mumegongwa kama drums na hio canopy kienyeji inafanana hema ya matanga. 🀣🀣🀣🀣

 
Tuko 2023 unatuletea picha za 70's 🀣 🀣 🀣 🀣 Kubali mumegongwa kama drums na hio canopy kienyeji inafanana hema ya matanga. 🀣🀣🀣🀣

Si canopy hiyo! Imagine garimoshi lipite kwa fully enclosed roof! Lazma mfe Kwa hewa ya ukaa! manina mchina mbayaaaa!
 
Si canopy hiyo! Imagine garimoshi lipite kwa fully enclosed roof! Lazma mfe Kwa hewa ya ukaa!
Eti train litaingia ndani ya jengo kama ulaya. 🀣 🀣 🀣 🀣 Woiiiii, kumbe munajengewa kitu kama hii, in fact this is even better.
Bado nakufa na kicheko.πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ€£πŸ€£
 
Tuko 2023 unatuletea picha za 70's 🀣 🀣 🀣 🀣 Kubali mumegongwa kama drums na hio canopy kienyeji inafanana hema ya matanga. 🀣🀣🀣🀣

Ikiwa Hii technology yetu ni ya 70's what about your technology. itakua ni ya mwaka gani .? 🀣🀣🀣
 
Eti train litaingia ndani ya jengo kama ulaya. 🀣 🀣 🀣 🀣 Woiiiii, kumbe munajengewa kitu kama hii, in fact this is even better.
Bado nakufa na kicheko.πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ€£πŸ€£
We jamaa kweli uko na jealous na Tz .. yani unafananisha na Hii takataka.? 🀣🀣🀣
 
Tuko 2023 unatuletea picha za 70's 🀣 🀣 🀣 🀣 Kubali mumegongwa kama drums na hio canopy kienyeji inafanana hema ya matanga. 🀣🀣🀣🀣

hizi ni undeground platforms nishapita hapo! Very few train stations in Europe and around the World aside China can match this! Hizo train zinazosimama hapo hupita kwa tunnels zilizopita chini ya water canal/river kabla ya kuingia station yaani Berlin Hauptbahnhof (Main station)! Hiyo station ili-cost over €1 bln alone in 2006 na ina ghorofa zisizopungua nane (above and below the ground)! FYI kwa siku hii station ina-serve over 300,000 PAX! Sasa tujenge structure kama hii Dodoma ili iwaje wakati abiria kwa siku watakuwa chini ya 100,000?

 
Eti train litaingia ndani ya jengo kama ulaya. 🀣 🀣 🀣 🀣 Woiiiii, kumbe munajengewa kitu kama hii, in fact this is even better.
Bado nakufa na kicheko.πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ€£πŸ€£
banda la kuku hili lina net kuzuia kenge, nguchiro, vicheche na chatu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…