Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Mkunya anahoji kwanini SGR yetu inachukua muda, hajui tunajenga brand new 220kv transmission line along with the railway simultaneously kwa bei ile ile half the price of chang'aa project [emoji23][emoji23][emoji23][emoji579]

View attachment 2509575
Na pia tunajenga a 2600km long railway ya umeme sio kama yao 400km ya changaa.
 
Usiongee usilolijua wew dogo.. afu soma kwanza uelewe ndo ujibu
Hizo ni namba za frequency za magari kupita.

Soma hapa..
Hapo mwanzo wamesema a total nunber of vehicles ni 10,000,000.
Na hapo mwisho wamesema on average ni 50,000 vehicles a day

Means

50,000 vehicles per day x 7 months x 30 days (max)= 10,500,000 vehicles (averagely ndo wamepata 10,000,000 vehicles).
So nilikuwa sahihi kusema ni frequency za magari kupita, na si idadi ya magari mlionayo au watu wanaomiliki magari. Mna akili finyu sana ndo mana mnaburuzwa buruzwa tu kama makenge
 
Baada ya pipeline, kibra, mathare,kangemi nk nk

Sasa Kilimani na kileleshwa[emoji23]....

Halafu wako kujisifia eti slums zinapungua Nairobi....kumbe zinaongezeka maradufu...


View attachment 2508890

Tunaelewa changamoto zenu za kuelewa kingereza.
'Slums' - in quotes, haimaanishi chenye unafikiria.

It means single family homes giving way to skyscrapers.

Ona documentary, na upunguze pombe.

 
Excuse galore. Four years is a lot of time to keep whining why your airport is not performing. Keep using superlatives in describing that rolling mill and stop comparing it with the gateway to East and Central Africa and the best in the continent in customer service
 
Na pia tunajenga a 2600km long railway ya umeme sio kama yao 400km ya changaa.
Sahihi kabisa,

tunajenga
🚉 2600k long electric railway na
🗼2600km long 220kv transmission line

Halafu they use chang'aa project lenses to evaluate hii extraordinary mega project yetu, hapo ndio unaona hawa watu hawana elimu yoyote 🚮
 
At least I want you to accept the fact that we are both agreeing on one thing: that it's about frequency. Where I differ(ed) with you is where you started using a lot of emotions in claiming that Kenyans are using those figures to imply that there are ten million cars in Nairobi which was your own creation. Yes, there are many cars in Nairobi than Dar but to imply that there are 10 million cars in Nairobi based on that data is absurd!
 
My emotion, right?
 
Kanye kwanza upunguze mavi kichwan ndo tuongee vizur. Ukirud niambie, afu usome kwanza yote niliyoandika
 
Ngoja waingie YouTube watafute video za Wakenya Saudi. [emoji23] [emoji23]

That's their only comeback, because in their country, you'd have to jump hoops to find a Tanzanian working as a professional abroad.
We could flood thousands of such videos of Kenyan professionals here [emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…