Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Baada ya pipeline, kibra, mathare,kangemi nk nk

Sasa Kilimani na kileleshwa[emoji23]....

Halafu wako kujisifia eti slums zinapungua Nairobi....kumbe zinaongezeka maradufu...


 
Imeshadunguliwa kitambo hiyo ballon kwenye ufukwe wa Corolina.

Haikupigwa mapema kwasababu walitaka isiwe maeneo ya watu ili isilete madhara, pia hawakujua imebeba nini.

Baada ya kufika baharini ndipo ikapigwa bomu, muda wote ilikuwa ikisindikizwa na ndege za kivita. Lakini NASA walizima mawasiliano yote ambayo ilikuwa imekusanya ili itume Uchina.

Kwahiyo taarifa iliyokuwa imekusanya haikwenda ndio maana China analalamika ballon yake kupigwa..

Balloon ya pili iko South America na siyo ndani ya US maana imezunguka kwenye angala la Venezuela na nchi jirani halafu ikaondoka.
 
Yani mkenya anamtambia mtz kwa Airpot alafu Airpot yenyewe ni JKIA [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Yani mtanzania anasahau it is the busiest airport in the region and also the gateway to the region? 😂😂😂 Umia polepole
 
1. Kulikuwa na haja ya mwenye video kutaja Wakenya?
2. Angalia comment za Wabongo kwa hiyo video, umeona zikiwa positive? You get the energy you give.
Mwenye video ni mkenya mwenzenu kakubali Dar iko mbali kwa ss kuliko ka Nairobi na iko very clean kwani we huoni [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Yani mtanzania anasahau it is the busiest airport in the region and also the gateway to the region? [emoji23][emoji23][emoji23] Umia polepole
Zilipendwa [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Baada ya pipeline, kibra, mathare,kangemi nk nk

Sasa Kilimani na kileleshwa[emoji23]....

Halafu wako kujisifia eti slums zinapungua Nairobi....kumbe zinaongezeka maradufu...


View attachment 2508890
Neno slum imetumika figuratively ndio maana hata imewekwa kwenye quotes. Sasa Kilimani na Kileleleshwa zikiwa slums zile uswazi zenu za bati zilizoliwa na mchwa tutaitaje?
 
Zilipendwa [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Zilipendwa? 😂😂😂😂 Niletee airport inayohandle passengers wengi kuliko JKIA hapa EA tuone
 
Wewe si mtaalamu wa kubadilisha takwimu Google? Ulisema unge update ma slums yaliyopo huko kwenu yasionekane, sasa ndiyo uka update na hiyo inayosema more than 2.5 mil slum dwellers reside in Kibera.
 
Zizi la ng'ombe [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Hehehehe hilo ni eneo la reli kichaa wewe [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Does that change anything bongolala? Isn't it not a stone throw away from your city center?
 
Stop looking for flimsy excuses. KDF are also in DRC under East African Community Regional Force and so far have made a lot of progress in restoring peace in eastern DRC than your army achieved under UN
Stupid Kunyan, which progress?. KDF has failed terribly in DRC to stop M23 from advancing, the residents of DRC don't like to see Kenyan soilders in their country because is a useless army.

This is what TPDF did to M23 and defeated the group 9 years ago
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…