Lol!! Ni 17 siku hiz [emoji23]Ona vile sarafu ya Kunyaland imeporomoka against Tanzanian Shilingi..
We are taking over Kunyaland View attachment 2508244
Si wewe jus the other day umepost gari za mtapeli wa tz hapa, wacha ukondoo bana[emoji23][emoji23]Huyo anajulikama drug dealer joho au nadanganya [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] mtu ambae ameitafuna mombasa kisawasawa naskia anamiliki mpaka bandari sasa baadhi ya bearth ni zake yeye na kaka yake abuu joho
Kaaah sasa nisiseme ukweli kua ni drug dealer na ndio alioimaliza mombasa 😆😆 biashara zote za mombasa anazichezea yeye na kaka yake abuu joho ndio wanajiita wafalme wa mombasaSi wewe jus the other day umepost gari za mtapeli wa tz hapa, wacha ukondoo bana[emoji23][emoji23]
Wacha kulia basi tukipost za drug dealers, mr.double standardsKaaah sasa nisiseme ukweli kua ni drug dealer na ndio alioimaliza mombasa [emoji38][emoji38]
Haha kenya bana bila kua politician hakuna utajiri never ever 😆😆😆Wacha kulia basi tukipost za drug dealers, mr.double standards
No selective photo and hii ni selected photo unajiskia unachosema?In the heart of Nairobi CBD. No filters no selective photography
View attachment 2508195
Usinipangie ,hakuna aliekuzuia kuletaUsiongee na mdomo ongea kwa facts, lete vithibisho toka mamlaka inayohusika Kenya, sisi tulishaleta na wakakubali humu kitambo, kwakuwa umeliibua tena basi lete vithibisho au kaa kimya.
US$ bado inang'ataOna vile sarafu ya Kunyaland imeporomoka against Tanzanian Shilingi..
We are taking over Kunyaland View attachment 2508244
Picha linaanzia hapa aisee hii reli haina mfano hapa afrika
Hii si nilisikia rais alisema watatafuta mwekezaji kugharamia, ni yupi huyo mwekezaji?Mpunga wa SGR to DRC umeshapatikana
🇹🇿 🚅 🇨🇩
Hii ni Chevy CamaroHii gari itafika lini Kenya? Ipo huko Shinyanga vijijini kwa wachimba dhahabu
View attachment 2508078
Na kwa jinsi tunavyoenda ku import kila kitu kwao tegemea ngoma kuwa sawa soon.Lol!! Ni 17 siku hiz [emoji23]
Ndio yenyeweHii ni Chevy Camaro
Tuache ushabiki hii reli kali bhana, yaani kila picha haitoshi kuangalia tu ukaacha, unazooom reli, ukimaliza unazooom jengo, ukimaliza unazoom mazingira alafu ukimaliza unaingia Youtube kutafuta video, yaani ni extremely gorgeous. Nicxie do you copy? 😅