🤣🤣🤣🤣 mombasa ipi budaa hio inayonuka mikojo na mavi hapo CBD mombasa ambayo haina maji kwenye majumba ya watu hvi ww unaona watu wote wajinga sanaJust like Mombasa, dar pia majority ya majengo mengi hayafiki 10 floors. High-rises ni moja moja hayako concentrated in one area. Lete aerial view ya dar ulinganishe na hiyo ya Mombasa
HayaJust like Mombasa, dar pia majority ya majengo mengi hayafiki 10 floors. High-rises ni moja moja hayako concentrated in one area. Lete aerial view ya dar ulinganishe na hiyo ya Mombasa
I hope umeget point yangu. Majority ya majengo hapo ni 10 floors and below
Dar ina 20 floors buildings more than Nairobi!I hope umeget point yangu. Majority ya majengo hapo ni 10 floors and below
According to a person called geza but not factsDar ina 20 floors buildings more than Nairobi!
Magufuli hachafuki kirahisi hivyo, huyu ni kipenzi cha watanzania kwa muda wote, hamjishangai kila mkitumwa mumchafue nyie machawa lkn wapiii wananchi bado wanampenda na wanamkumbuka sanaa.Tundu Lissu's narration on how Magufuli tried to kill him
Wewe ni mbinafsi sanaMagufuli hachafuki kirahisi hivyo, huyu ni kipenzi cha watanzania kwa muda wote, hamjishangai kila mkitumwa mumchafue nyie machawa lkn wapiii wananchi bado wanampenda na wanamkumbuka sanaa.
Huwezi kubadili nyekundu kuwa njano na huwezi kupindua mema aliyoyafanya Magufuli kisa alitaka kumuua Lissu, huyo Lissu hata ningekuwa mimi ndiye raisi alafu ananitukana namna ile nisingemuacha piga ua, ningepita naye mapema sn kuliko hata Magu. Huyo Lissu kwanza hana adabu, ni kweli ana uwezo kiakili lkn hana adabu na ndiyo maana hawezi kuja kuwa Rais wa nchi hata akawange uchi.
Nakuomba acha kubishana na hawa. Achana nao.Magufuli hachafuki kirahisi hivyo, huyu ni kipenzi cha watanzania kwa muda wote, hamjishangai kila mkitumwa mumchafue nyie machawa lkn wapiii wananchi bado wanampenda na wanamkumbuka sanaa.
Huwezi kubadili nyekundu kuwa njano na huwezi kupindua mema aliyoyafanya Magufuli kisa alitaka kumuua Lissu, huyo Lissu hata ningekuwa mimi ndiye raisi alafu ananitukana namna ile nisingemuacha piga ua, ningepita naye mapema sn kuliko hata Magu. Huyo Lissu kwanza hana adabu, ni kweli ana uwezo kiakili lkn hana adabu na ndiyo maana hawezi kuja kuwa Rais wa nchi hata akawange uchi.
Umehesabu?Au umepataje takwimu yako,mimi naona majority ni 10 and aboveI hope umeget point yangu. Majority ya majengo hapo ni 10 floors and below
According to SSCAccording to a person called geza but not facts
How many times should we prove this Geza? You're not even half what Nairobi is in that sector. 🤣 🤣Dar ina ghorofa nyingi za 20 floors kuliko Nairobi!
According to SSC or according to delusional Tanzanian boy called Kizibo? 🤣 🤣 🤣
Dar real estate is USD 3bn more than Nairobi. Mbona wepesi wa kusahau hii inatakiwa ikae kichwani vizuri.I hope umeget point yangu. Majority ya majengo hapo ni 10 floors and below