Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Nitake radhi bwana usitaje hovyo neno SGR bila kutanguliza neno electric eco friendly hayo maneno huleta heshima kwa neno sgr.
Ongeza pia Immobile sgr ambayo mdanganyika raia wa kawaida hajawahi panda wala faidika



Sgr ya danganyika haijawahi anaza kazi 10 years later kila saa ni mwakani mwakani


 
Ww chizi kweli 🀣🀣🀣 hio video anasaini ujenzi wa reli na huyo anaezaini ni mkurugenzi wa TRC na mkandarasi yapi markezi tangu lini loan ikasainiwa na mkurugenzi wa TRC

Bro siku utapata tanzania imechukua loan kwa ujenzi wa SGR nitag nifunge acc ila pia nimeamini kweli unaumia sana mpaka unaleta video ya utiaji saini wa ujenzi wa reli kipande cha pili 🀣🀣🀣🀣🀣🀣
 
Hivi wewe una matatizo ya akili?, Yarpi Markezi ni Contractor, wapi umeona "signing ceremony" ya kupokea pesa toka Turkey?, Wewe ni kichaa haupo sawa kichwani mwako.
Yani nimecheka sana tena na mbaya zaidi anamuona kabisa mkurugenzi wa TRC na yapi markezi 🀣🀣🀣🀣🀣🀣
 
Ww kapimwe mkojo yawezwkana ukawa na UTI sugu 🀣🀣🀣🀣🀣 unatuomesha video ya utiaji saini kati ya TRC na yapi markezi au ww hujui kua yapi markezi tumemuajiri ajenge reli???
 
Mombasa SGR terminus is better than all sgr stations in danganyikaland.
On the left, Mombasa sgr terminus has a marshaling yard for cargo something which no tanzania sgr station has.
 
You sure you want to go here? 🀣🀣🀣 Yani zote combined mnapelekwa teke teke na bank moja Kenya 🀣
Hebu niambie ukweli kwan hupendi kuona tanzania ikifanya makubwa 🀣🀣🀣 hvi niambie ww kuna bank gani kenya ni mshindani wa KCB ukipata let me know au kuna mtandao gani kenya ni mshindani wa safaricom
 
Hebu niambie ukweli kwan hupendi kuona tanzania ikifanya makubwa 🀣🀣🀣 hvi niambie ww kuna bank gani kenya ni mshindani wa KCB ukipata let me know au kuna mtandao gani kenya ni mshindani wa safaricom
Equity is making almost the same in profits as KCB
 
Kima cha chini cha mishahara ya walimu wa serikali kunyaland ni 140k πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Ndio maana wanakimbilia Tanzania aisee

Those are ECDE teachers. Google ECDE ujue ni nini

The lowest paid P1 teachers in Kenya earn Ksh25,000
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…