Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

sawa ndugu ila try help me here a littleπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€what does this map signify? jirani ni kusaidianaπŸ˜€πŸ˜€
umechange topic sasa renders zimekushindaπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
wallah napenda renders unazotuoneshaπŸ˜›πŸ˜›πŸ˜›πŸ˜›πŸ˜›
 
umechange topic sasa renders zimekushindaπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
wallah napenda renders unazotuoneshaπŸ˜›πŸ˜›πŸ˜›πŸ˜›πŸ˜›
si unisaidie basi kujibu swali hilo kisha nitarudi kwa topic ndugu tafadhali.πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Wakenya si watu wa kujifunza kutokana na makosa ya nyuma, pia sio watu wanaopenda kujiuliza na kujifunza kwa majirani, kwa ufupi ni watu wagumu sana kupokea ushahuri
 
Nairobi dry port.(inland container depot)..do you hav this in tz? πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
kwa upande wa inland container depot(ICDs),dar es salaam zipo zaidi ya kumi.

nakumbuka last two years baadhi ya ICDs zilifungwa na tanzania revenue authority(TRA) kutokana na kukiuka baadhi ya masharti waliyopewa na serikali na kwa kosa la kushirikiana na wafanyabiashara wasio waaminifu kufanya tax evasion.

hizi ni baadhi tu ya ICDs ambazo zina operate mpaka sasa.

 
an AIC chong'ombe choir from dar es salaam singing a prayer song for peace and unity in kenya.
umetisha kadoda ndiyo wajue kama sisi si watu wa roho mbaya ama roho za ajabu zenye chuki kama wao[emoji120] [emoji120]

peace 4 kenya
 
Chokoraa umeanza kujihisi wa kimataifa. .....nenda taratibu usijikwae
[emoji1] [emoji120] [emoji120] nashukuru boss mbona kote nipo...ila nipo naubize wangu mazee maana nikiingia nitakuja kuchafua mazingira
 
Nairobi dry port.(inland container depot)..do you hav this in tz? πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
HAHAHAAA, hebu uliza kuhusu jambo jingine, mana kwa hizo wharf (bandari kavu) utapata aibu, zmejaa tele kama pishi la mchele, inaelkea huko nai ni kitu cha ajabu sana, coz umeuliza kwa bashasha ukidhani sisi hatuna, then ukaishia kua disappointed, shm
 
sawa...ila tulia...hasira nyingi na matusi hazitakusaidia...waige wenzako kina ichoboy na kadoda..
 
umetisha kadoda ndiyo wajue kama sisi si watu wa roho mbaya ama roho za ajabu zenye chuki kama wao[emoji120] [emoji120]

peace 4 kenya
mwisho wa siku hawa ni jirani zetu tu...yakitokea machafuko kwao nchi ya kwanza kubeba mzigo wa kuwasaidia ni tanzania na mikoa ya kwanza itakayoanza kupokea mafuriko ya wakimbizi ni arusha,kilimanjaro na tanga kwa upande wa mombasa.

hivyo basi hatuna budi kuwaombea amani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…