Ok, are they locally sourced.I guess i missed that memo ya utani[emoji23] ama ni ya ile sini ya steel[emoji23][emoji23]
Tena hio bajaji inaitwa sijui piaggio ina kelele kuliko honi ya meli [emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
Key words:
"The economy is going to need more than hope and prayers this year."
View attachment 2500019Major Risks That Will Face The Kenyan Economy In 2023
The Kenyan economy has an uphill task to sail through this year. Given the struggling performance of the Kenyan shilling,sokodirectory.com
Huwa wanajisahaulisha[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Serikali imeshajibebea kapu linalovuja siku nyingi tuu.[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
2027 uki factor in construction ya LNG plant and construction ya Bagamoyo port GDP itakuwa kubwa zaidi ya hapo.
Maybe Yes2027 uki factor in construction ya LNG plant and construction ya Bagamoyo port GDP itakuwa kubwa zaidi ya hapo.