Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

You should thank me for knowing that there are European countries that do not have electric trains which is directly opposite of what you believed. And yes, these countries are a million times better financially than your shithole country
Punguza wivu wa kike, ukizidiwa kubali. Hakuna uwezekano wowote wa kuifikia Tz kwa sasa, unalinganisha Tz na kanchi kenye uchumi wa $5 bn huna akili wewe. Uchumi wao wote haufikii thamani ya SGR ya Tz punga wewe.
 
Boss najua bei ya hilo tunda pale Simply fresh[emoji41]

Hiko kisahani tu kuna mkulungwa ananunua kilo 3 za ile kitu kwenye lile sinia juu ya kiti[emoji23][emoji23]
Sinia la kwenda [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Cold solutions EA largest of its kind in East Africa coming up at Tatu City alafu Dodoma ulinganishe Na City kama hii Ni jokes
View attachment 2499033
Unaumwa Mavi wewe sio bure [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Mzee hujui tu unavyoniudhi. Kwanini unaleta siasa za kutugawa watanzania. Unapata faida gani kuendekeza mambo haya. Itabidi nikufuatilie nijue nani anawalipa.
Kwahiyo wewe unaona sawa watu humu kukasirika mama kutumiwa pongezi za siku yake ya kuzaliwa? Kisa mwendazake hakuelewana na Wakundustan? Haya mbona hayakuwapo pre Sukumagang mentality era? Mbona kuelewana kwa Magufuli na Kagame hakukuleta figisufigisu kutoka kwa wafuasi wa JK? Au mnataka tufike mahali tusipeane pole kwenye majanga pia na majirani?
 
Cyprus and Greece dugu moja Andorra and Spain dugu moja watu wa Catalan hao. All are principalities within a larger European states same as Zanzibar is a nation within Tanzania.
Cyprus and Greece are sovereign states, Zanzibar is part of Tanzania. Wacha kupotosha umma wewe
 
Nilitaka kutype but nkakumbuka Mwanasheria wangu yupo Seoul
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…