Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kunywa Tusker baridi ama Serengeti baridi upunguze hasira.
 
Every Kenyan's dream is owning a house in those leafy surbubs. Bongolalas will never understand
 
Kwahiyo mhindi wa Kenya ni Mkenya ila Mhindi wa Tanzania sio Mtanzania sio? Maana hivyo ndio huwa mnasema siku zote tuwaelewe vipi sasa?
Na msomali wa Kenya si mkenya? Mtu generation yake ya tatu au nne ni wa Kenya
 
So Rostam Aziz, Mohamed Enterprises ni wahindi kwa sababu ni Tz ila akiwa raia wa Kenya ni mkenya, mna wivu sn na Tz nyie watu.
Nyie ni mara ngapi mnasemanga hapa kwamba wasomali sio wakenya wakati mtu kazaliwa Kenya hadi generation yake ya tatu au nne?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…