Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kichapo Cha jibwa Koko, amekimbia anatafuta pakutokea, komea huko siku nyingine usijaribu🀣🀣😜😜πŸ’ͺπŸ’ͺπŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯
Picha zako zimeisha. Mimi nataka tuende kimoja kimoja.
Tunaanzia kwenye nini?
1. Three Levels Interchanges
2. SGR
3. BRT
4. Sidewalk
5. Bridges

Haya sasa nakusubiri
 
So which city is better?
Stretch ya barabara kutoka kivukoni hadi Kibaha ambayo ina BRT plus Highway yenye urefu 40Km Hii pekee inajibiwa na barabara gani hapo Mombasa?...
Barabara ya Kilwa nayo Ina BRT 20KMS flyovers 2
Sina haja ya kutaja barabara zingine kwanza niambie stretch ya maana hapo Mombasa ya kujibu mapigo kwanza

Sent from my SM-A035F using JamiiForums mobile app
 
Picha zako zimeisha. Mimi nataka tuende kimoja kimoja.
Tunaanzia kwenye nini?
1. Three Levels Interchanges
2. SGR
3. BRT
4. Sidewalk
5. Bridges

Haya sasa nakusubiri
Kazi rahisi hatuhitaji kupoteza mda..,
1 Three level interchanges: Tanzania 1 Kenya 6., (Museum Hill, Southern Bypass, South B/south c crossing, another off Mlolongo at expressway, Pangani, Changamwe interchange, Mombasa)..,
2. SGR: working SGR. Tanzania 0(U/C). Kenya 1 ( 553KM Mombasa to Naivasha ICD)
3. BRT Tanzania 1 Kenya 0.
4. Sidewalk.., (relative)
5. Bridges: Both have, designs ndio tofauti.

ujinga niondolee kilaza.., unajaribu kuweka kile unadhani uko na advantage, nyambaff.
 
Bwana Don YF Umepotea unatafuta picha? Basi pokea ubatizo kidogo

Komaa tu hapo Dar.., jiliwaze ukichoka nenda vijiweni ukahadithie makapuku wenzako, maboya na mazezeta, kazi yako nimemaliza, hauna ushawishi wowote kwangu kamwe πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚
 

Tuoneshe Three Levels Interchange. Hatutaki maneno mdogo wangu. Weka naweka.
 
Three Levels Interchange iko wapi?
 
πŸ‘†πŸ‘†πŸ‘† kazi kwisha, jipe shughli
Tuoneshe Three Levels Interchange. Hatutaki maneno mdogo wangu. Weka naweka.
 
πŸ‘† πŸ‘† πŸ‘† unajaribu kujitia hamnzao wazi wazi boya., potelea mbali, nimekunyonga kabisa hauna pumzi kamwe.., wenzako wanakungoja vijiweni boya πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Kwahiyo umegoma kutuonesha Three Levels Interchange from Kenya, au hakuna umeona aibu?
Sema tu mdogo wangu hakuna wa kukucheka.
 
Kwahiyo Kenya hakuna Three Levels Interchange?
KAMA HII
Umefinywa penyewe, inauma ila vumilia., hiyo msalaba ni "vilima na bichi kidimbwi" boya., pumzi kwisha, mwaga povu kabisaa πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ’ͺ πŸ’ͺ πŸ’ͺ πŸ’ͺ πŸ’ͺ
 
Umefinywa penyewe, inauma ila vumilia., hiyo msalaba ni "vilima na bichi kidimbwi" boya., pumzi kwisha, mwaga povu kabisaa πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ’ͺ πŸ’ͺ πŸ’ͺ πŸ’ͺ πŸ’ͺ
View attachment 2493058
Nakuona umeshindwa. Pole Maana huko Kundustan hakuna vitu vizuri kama hiki

 
Makuona umeshindwa. Pole Maana huko Kundustan hakuna vitu vizuri kama hiki

Sawa boya, Kenya hakuna vilima na bichi kidimbwi hapo tumekubaliana, pumzika sasa πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚
 
Sawa boya, Kenya hakuna vilima na bichi kidimbwi hapo tumekubaliana, pumzika sasa πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚
Sema hivi Kenya hakuna Three Levels Interchanges
 
Sawa boya, Kenya hakuna vilima na bichi kidimbwi hapo tumekubaliana, pumzika sasa πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚
πŸ‘†πŸ‘†shikilia hapa, wacha kutapatapa..,
Sema hivi Kenya hakuna Three Levels Interchanges
 
Sawa boya, Kenya hakuna vilima na bichi kidimbwi hapo tumekubaliana, pumzika sasa πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚
ukishachoka kutapatapa, jibu ni hapa hapaπŸ‘† πŸ‘†
Hapa mdogo wangu tunaongelea Three Levels Interchange. Au hujui maana yake nikufundishe?
Vumilia kitukuu, inauma ila utapoa tuπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚..,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…