Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

SGR mlianza kwa mbwewe April 2017, sasa mnaingia mwaka wa sita hamjapanda train ya umeme! nyambaff, wengi mtakua mshakufa kabla ya mradi kukamilika, bladfwakin[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Kumbuka tunajenga rail network ya umeme 2500km the longest in Africa.
 
Mbona mzee umeweka vitu vya kawaida sana.
Sijaona three level interchanges
 
Kumbuka tunajenga rail network ya umeme 2500km the longest in Africa.
Note.., Dar to Moro tu, a 300km stretch imewachukua 5 years plus..., remember that please.πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Na ukinionesha Three Levels Interchange kama hii nahama kwenye solar system

 
Mungu akiwabariki mkawa na mzigo kama huu uniite mbwa nimekaa paleee





 
Note.., Dar to Moro tu, a 300km stretch imewachukua 5 years plus..., remember that please.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Embu tuwekee progress ya sgr yenu soyikimau malaba mmefika wapi? Na huu ni mwaka wa ngapi? Tuonesheni japo sentimeta moja ya hicho kipande.
 
Three levels iko wapi? Unajaza Server tu. Mkiwa na vitu kama hivi nakunya mafungu mafungu kutoka hapa nilipo mpaka kigoma



 
Na ukinionesha Three Levels Interchange kama hii nahama kwenye solar system


Wacha tulinganishe a technical college msalaba project vs Museum Hill interchange πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚


ama Southern Bypass interchange
 
Three levels iko wapi? Unajaza Server tu. Mkiwa na vitu kama hivi nakunya mafungu mafungu kutoka hapa nilipo mpaka kigoma



jinga type linajitia hamnazo, nyambaff πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ ..,
 
Embu tuwekee progress ya sgr yenu soyikimau malaba mmefika wapi? Na huu ni mwaka wa ngapi? Tuonesheni japo sentimeta moja ya hicho kipande.
It is not under construction yet.., yaani bado ujenzi haujaanza, sio kale kenu ka 300km ujenzi ulianza April 2017, hadi wa leo hamjatumia SGR train.., jiangalie mlivyo., ukianza kitu unakamilisha kwa wakati., narudia, omba sana msife kabla ya kutumia ama kushuhudia SGR nchini kwenu..,
 
Basi mzee unataka mimi nifanye nini sasa?
Nioneshe basi hata nusu ya hiki kitu. Mimi nakupa kimoja kimoja. Achana na kuweka mapicha meeeengi, Randomly





Kichapo Cha jibwa Koko, amekimbia anatafuta pakutokea, komea huko siku nyingine usijaribu🀣🀣😜😜πŸ’ͺπŸ’ͺπŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…