Yaani Wakenya ndio wakutuambia sisi kuhusu ufisadi? We jamaa kilaza kweli, kwanza sidhani hata kama kweli we ni Mkenya, Mkenya halisi angekuwa na aibu hata ya kuongea nonsense kama hizi.
Serikali imepambana kupainua Dodoma sasa wapige msasa kwemye miji mingine kama Mbeya na TangaDodomaaaaaa View attachment 2491348
Mbona ufananishe Miko na Kilimani?[emoji2][emoji2]
Napitia sana taarifa kila siku za namna mumepigwa, ukizingatia nchi yenu maskini, mtu unadiriki kuifilisi nchi maskini hiyo ni laana moja kwa moja.
Ngoja tumalizane na makao makuu ya nchi kwanza miji mingine itaendelea taratibu mana nako sio kama pameachwa, miundombinu muhimu imejengwa pia so pataendelea taratibu.Serikali imepambana kupainua Dodoma sasa wapige msasa kwemye miji mingine kama Mbeya na Tanga
Sent from my SM-A035F using JamiiForums mobile app
Lengo langu ni tusihamishie Population tena Dodoma siunajua wabongo wanapenda kitonga...wkaishaona Dodoma mambo safi wooote wanajisogeza humoNgoja tumalizane na makao makuu ya nchi kwanza miji mingine itaendelea taratibu mana nako sio kama pameachwa, miundombinu muhimu imejengwa pia so pataendelea taratibu.
Angalia kuanzia mwaka jana 2022 hadi 2025 namna gap linapungua
Hawa ni IMFView attachment 2491311View attachment 2491312View attachment 2491313View attachment 2491314View attachment 2491315View attachment 2491316View attachment 2491318View attachment 2491319
Sent from my SM-A035F using JamiiForums mobile app
Tokea nikufinye kule International Forum unaniogopa kama ukoma.Anyway kwa mama linaweza likapungua maana mbinu zake kiuongozi ni much more business friendly, naona hata ameruhusu wapinzani wafanye mikutano ya hadhara.
Luanda ni seafront tu kaka. One centimeter away from those shining tall glass buildings in uozo wa hali ya juu. Seafront imerembeshwa sana but ukipiga hatua kidogo tu unabaki kinywa wazi. Shining tall glass buildings and shanties stand side by sideView attachment 2491333
Luanda Angola, imagine na unyama huu yet they are just quiet..
Lipstick kama hii post yenu?! 👇Toa uchafu wa lipstick hapa, hiyo ya Luanda ipo kama ilivyo nyie yenu matakataka, mamikojo, kinyesi vimejaa CBD. Be realistic msee.
Kuna mkenya mmoja ananiogopa kweli
Tanzanite ileeeeee!!!
Ndio tatizo la nchi nyingi za kiafrika, unakuta ka CBD wamekapendezesha ila ukitoka nje kidogo tu ni uharo wa kutisha.Luanda ni seafront tu kaka. One centimeter away from those shining tall glass buildings in uozo wa hali ya juu. Seafront imerembeshwa sana but ukipiga hatua kidogo tu unabaki kinywa wazi. Shining tall glass buildings and shanties stand side by side View attachment 2491383View attachment 2491385View attachment 2491387View attachment 2491390
Linapungua taratibu Bila maumivuAnyway kwa mama linaweza likapungua maana mbinu zake kiuongozi ni much more business friendly, naona hata ameruhusu wapinzani wafanye mikutano ya hadhara.
Luanda pakawaida Tu slums kibaoLuanda ni seafront tu kaka. One centimeter away from those shining tall glass buildings in uozo wa hali ya juu. Seafront imerembeshwa sana but ukipiga hatua kidogo tu unabaki kinywa wazi. Shining tall glass buildings and shanties stand side by side View attachment 2491383View attachment 2491385View attachment 2491387View attachment 2491390
Naona umenywea. Niendelee nisiendelee?Lipstick kama hii post yenu?! 👇