Rhaenyra Targaryen
JF-Expert Member
- Sep 10, 2022
- 915
- 1,091
Bagamoyo is a whole different town with a rural area in between. The photo I posted is of Athi River - Athi River is basically part of the Nairobi cornubation. If you drove from Nairobi to Athi River, you won't feel like you've moved from one city to another. It is a continous urban area. Bagamoyo and Dar is more like Naiobi and Naivasha.If you consider kiambu, ruiru tu be part of Nairobi...
Then Kibaha, bagamoyo, mkuranga should be the part of Dar es Salaam
Hawa watu wako group moja na Nigerians kwa akili zao za kitapeli kuanzia kwenye economic data mpaka kwenye corruption na propaganda za kiboya. Hiyo ndio akili anayozungumzia MK254 kwa tuliosoma Cuba tumeshamuelewa [emoji16]
Kama uchumi wenyewe wa kikenya wa kushinda njaa, sisi hautuutaki.Siku mkitukaribia kiuchumi unitag, ila kwa sasa na hata miaka hamsini ijayo pole yenu.
Huoni hata tarehe kwa hio picha?? Wacha nikuacheNdo hiyo route ya commutter rail. Total distance covered ni around 150km View attachment 2489423
Nairobi Commutter rail inacover 150km na tena haiendi only one direction kama brt yenu ambayo hata haifiki 50kmHapo conmuter rail ya Nairobi ni red line ni aibu hako ka distance
Hiyo Commuter rail inyopita mpaka kibera?Nairobi Commutter rail inacover 150km na tena haiendi only one direction kama brt yenu ambayo hata haifiki 50km
Commuter Rail in Kenya hata na sisi tunaonaNairobi Commutter rail inacover 150km na tena haiendi only one direction kama brt yenu ambayo hata haifiki 50km
Stop talking nonsense on things you have no idea of. Dar and Bagamoyo is also continuous and so is Kibaha Mkuranga and Kisarawe.Bagamoyo is a whole different town with a rural area in between. The photo I posted is of Athi River - Athi River is basically part of the Nairobi cornubation. If you drove from Nairobi to Athi River, you won't feel like you've moved from one city to another. It is a continous urban area. Bagamoyo and Dar is more like Naiobi and Naivasha.
Hapo conmuter rail ya Nairobi ni red line ni aibu hako ka distance
Sasa nyie wenye akili inakuaje mnakufa njaa karne hii ya 21? Akili zenu zimewasaidia nini hapo?Tunaangalia uhalsia, haiwezekani mkawa na liinchi lote hilo lenye rotuba nzuri kote na madini ya kumwaga na vivutio bora vya utalii ila mnashindwa na kainchi kadogo kama Kenya kwenye kila kitu, laana yenu ilianzia zile experiments za Nyerere za kuwatumbukiza kwenye ujinga wa ujamaa, wengi bado mumeganda humo, ni mfumo uliowafanya mkawa wavivu sana.
Jitekenye ucheke mwenyewe. BRT phases 2,3,4 and 5 under construction as we speak nyie mmeshamaliza paint job huko kwenu?Nairobi Commutter rail inacover 150km na tena haiendi only one direction kama brt yenu ambayo hata haifiki 50km
Jitekenye ucheke mwenyewe. BRT phases 2,3,4 and 5 under construction as we speak nyie mmeshamaliza paint job huko kwenu?
Sasa nyie wenye akili inakuaje mnakufa njaa karne hii ya 21? Akili zenu zimewasaidia nini hapo?
Sasa unatakaje mwanangu?Kwa nchi yetu ambayo zaidi ya nusu ni kame tupu hivyo kunakua na changamoto la kiangazi, ila mlivyo wazembe mngepewa nchi hii mngekufa wote, mna kila kitu ila umaskini unawatesa tangia mzungu aondoke.
Hehehe huna uwezo wa kunifanya nipanic, mimi ni mzee wa battles, nimekua ranked top kwenye international forums na hata humu Kenyan forums, inapaswa ujitutumue utoke kwenye mipaka ya hiyo nchi uwe exposed kidogo utayaelewa, acha kutegemea hadithi za vijiweni.
Nasikia alilipwa 50 thaoo kwenye ile fight, mpunga wote kala Mandonga Human Work….😅Hiv yule wa kenya kapata nn hadi mda huu