Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hata ukiumganisha haya Madaraja still hayatawahi fikia urefu wa Kigongo busisi bridge .. ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿšฎ
Haijalishi, hiyo two lanes bridge ni kama tu njia..., tulieni tu na Dar is slum, kule nje hakuna kitu cha maana vile.., wacha kujitekenya dogo, ulifikiria hakuna kitu nje ya Nairobi, pole sana mko na mwendo bado๐Ÿ˜๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚

Makupa..,
Barabara inayo elekea maupa bridge, Mombasa..,





Kisha Mwache-Mteza Bridge.., classy!

 
๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ Busisi ni six Lanes bridge. Mzee. Halaf angalia please usitaje hizo takataka zako mbele ya Busisi bridge.. Busisi ni record breaking bridge.. lipe heshima yake tafadhali ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ
 
Tatu city ya Kiambu tu iko na investments kuliko haka eti magufuli city, jaribu sana, tia bidii kwa kujikaza ambia wakandarasi waarakishe mfike mahali tupo..., bado sana...,
 
๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ Busisi ni six Lanes bridge. Mzee. Halaf angalia please usitaje hizo takataka zako mbele ya Busisi bridge.. Busisi ni record breaking bridge.. lipe heshima yake tafadhali ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ
Kalilie kwa choo mjukuu, Tanzania ni Dar pekee..., ๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Tatu city ya Kiambu tu iko na investments kuliko haka eti magufuli city, jaribu sana, tia bidii kwa kujikaza ambia wakandarasi waarakishe mfike mahali tupo..., bado sana...,
๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ Dah.. nikikuomba progress, utapost nini bro.? Wacha uongo
 
Kalilie kwa choo mjukuu, Tanzania ni Dar pekee..., ๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
Naeza post facilities zenye zipo Mwanza ambazo huezi pata hata hapo NAIROBI.. tusiitaje DODOMA kabisa mana kwasasa DODOMA ni upcoming second most developed city in Tz in terms of infrastructure development n.k
 
Ila JNIA inakuuma mzee mpaka unaiita banda la kuku..๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ sio kwa maumivu hayo.. haya pole
Umewai kufika sehemu wanafuga kuku wengi? (Large scale chicken farm) JNIA ina muonekano kama wa nyumba ya kuku wale, ama muonekano wa godown ya kuweka mizigo..,
Tazama kwa juu...,
 
๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ Busisi ni six Lanes bridge. Mzee. Halaf angalia please usitaje hizo takataka zako mbele ya Busisi bridge.. Busisi ni record breaking bridge.. lipe heshima yake tafadhali ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ
Makupa bridge yenyewe ni lanes ngapi dogo? sina miwani, ebu nihesabie kisha unipe jibu...,
 
SAWA.. najua unapata mateso makubwa sana hata ningekuwa wewe ningejitahid nibeze angalau nipate nafuu
Anatafuta pakutokea ๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜‚ ..,
 
Nimekwambia usitaje hizi takataka mbele ya Busisi bridge a.k.a The record breaking bridge.. the longest in EA and Central Africa.. Kaaa kwa kutulia ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ
Yaani ni footpath ndefu tu in comparison., wachana na bridge zilizo pishana, sio footpath ndefu ๐Ÿ˜ ๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜‚
 
Footpath ni ile ya likoni ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ au unajisahau.?
Sasa mbona pia mnajenga njia ya gari iwe kama footpath?, ya Likoni ni ya watu wa miguu, hiyo ni sawa kabisa.., but hiyo Busisi ukilinganisha na Mwache Mteza ama Makupa, where zote mbili ni double bridge, yenyu itakua tu "footpath" ndefu ๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜‚ ., konda!!
 
Mzee nenda kapumzike, ukiendelea hivi utakuwa kichaa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ