Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hapajaparara mtaani kwake tu, Imagine hii ni kitu cha moto kabisa tarehe 17 mwezi wa kwanza maka 2023 🀣 🀣 🀣 🀣 🀣 🀣 🀣
 
Club ya Simba SC πŸ‡ΉπŸ‡Ώ ni club bora no. 7 Africa mpk January, 2023 (club world ranking for 2022).. imeshika no. 107 duniani.
Yanga πŸ‡ΉπŸ‡Ώ ni no. 19 Africa, no. 199 duniani

IFFHS ni shirikisho la kimataifa linalohusika na historia na takwimu za mpira wa miguu duniani. (International Federation of Football History & Statistics)
 
Duh, 🀣 🀣 🀣 🀣 🀣 🀣 🀣 🀣 🀣 🀣 🀣 🀣 🀣 🀣 🀣 🀣 🀣 🀣 🀣
 
CBD hio imeshatapika tayar πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†
View attachment 2485885
Uzoaji taka, na kuzi recycle ni hela ndefu tu. Huku kwetu hadi uswahili kila nyumba inatozwa 5000 na taka zinazolewa kila muda, kwenye corpoate areas wanachukua 350,000 au zaidi kukusanya taka na kupeleka eneo husika, kwa Aggressive na Business minded kama wanavyojisifia wanashindwa kupiga hizi hela za wazi? au wananchi cant afford? 🀣 🀣 🀣

 
Sasa gari kama hili linatumia siku ngapi kukusanya taka just imagine 🀣🀣🀣 ikiwa inatembea 1 km kwa siku nzima itamaliza lini
 
Kama una connection huko, hili ni wazo nzuri la biashara, hii ni bonge la deal la kupiga hela 😁
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…