Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kabla ya two river mall kubwa zaidi Kenya ilikua ipi
 
[emoji13] [emoji13] [emoji13] bora uwe mjinga kuliko kujifanya mjanja 4 nothing.....

el matadol endelea kukomaa hapo city center kwakuzivia wi-fi za bure hafu kingine wewe ni mzee ushazeeka [emoji30]
Chokoraa katoa maoni jf. ....tunakujali ndugu chokoraa hapa freedom tumekupa .tapatapa ndugu. ...inaeleweka
 
Kwa kuwa we ni mwanaume uchwara ,vigezo vya kiume huna ,mambo mengine kwako hakuna unavyojidhani haufanani rekebisha ila utabaki kuonekana limbukeni .nilikwambia uki edit posts zangu nakuona mwanaume nusu ,njoo nikufunze madhili.
hatuhitaji matusi ukiona umezidiwa point unapiga kimya tafadhali sana
 
Umeona nikisema mie mtanzania? no wonder hamna akili maana kwelewa kwenu ni tatizo.
Basi kuwa kama wakenya wengine ktk hii thread. Tuma picha za majengo, barabara mambo ya uchumi wa kwenu kenya (kwafact). Na hii ndio Battle, sio kujifanya kivuli cha nchi husika ya tz ili ionekane kuna watz wanaishambulia tz kwa upande wa ke
 
uchiboy tunamwelewa...kichaa kwel kwel...the madman of this village na mwenzake kadodaπŸ˜€πŸ˜€
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…