Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Na ukiangalia kwa umakini tanzania ndio inaongoza kwa urban populations sasa waambie wapige hesabu zao kwa umakini πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜† na hapo pia utapata real population below poverty line
Na pia ukiangalia utaona hawajahesabu watanzania wa uswazi, yaani mbali na uswazi 41% wako ndani ya slums!! so tukijumuisha hawaπŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡ wa uswazi nyote ni makapuku tupu pale Dar πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚


 

Tatizo lako unaongea kwa hisia pekee bila uhalisia wa kitaalam. Ngoja nikuache uendelee kubakia mjinga hivyo hivyo.
Wewe lete orodha mpya ya slums kubwa duniani kwa ''tafsiri ya kisasa'' kama unavyodai, halafu nioneshe Tanzania.
 
Sasa umekasirika au 🀣🀣🀣🀣🀣 mbona umekua muoga sana siku hzi
Jibu umepata, siku hizi umeshindwa kabisaa, yaani tangu nikukamate hivi haunaga nguvu tena, umebakia mnyonge, unatapatapa sana πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚
 
Tatizo lako unaongea kwa hisia pekee bila uhalisia wa kitaalam. Ngoja nikuache uendelee kubakia mjinga hivyo hivyo.
Wewe lete orodha mpya ya slums kubwa duniani kwa ''tafsiri ya kisasa'' kama unavyodai, halafu nioneshe Tanzania.
Tumia google earth 3D views, hauhitaji mambo mengi, simple as that, technology inayo kupeleka popote duniani.., kila kitu kimeanikwa wazi wazi, na pia inaumbua eti "expert opinions" uchwara..,
 
Jij gani halina bahari michosho. Nairobi hakuna hata sehemu waweza sema naenda Beach.
Lishamba kweli, umeona Nairobi ni pwani ndio utaje beach? mandazi weweπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Tumia google earth 3D views, hauhitaji mambo mengi, simple as that, technology inayo kupeleka popote duniani.., kila kitu kimeanikwa wazi wazi, na pia inaumbua eti "expert opinions" uchwara..,

Kwa hiyo google ndiyo research findings?? Unaweza ku site authority kuthibitisha largest slums of the world??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…