Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Me and a guy called Kimweri had some real discussions here. He was rigid, so was I but we used to make real arguments quoting real sources. Then we had jokers like the best, ichoboy, sijui kimpepe come in.
Team malalamiko [emoji3516][emoji3516][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Nakubali kk
 
Kama ni battle mbn wenzio wanakasirika sasa [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ila unanielewa wewe.., na pia mnachosha na uongo uongo na propaganda mingi kila uchao.,
 
Afadhali viestates zetu ni za bati nyekundu. Hazijaliwa na mchwa na kufinyika bila mpangilio Kama hizi zenu

VS
 
Wewe ni mtu bladfwakin kabisa ๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜‚, sasa vile Accra Ghana na Lusaka Zambia wako na stadiums kali kali unaweza kuziweka sentensi moja na Addis Ababa yenye stadium kama zizi la ng'ombe? Accra Ghana pia wako na pokuase interchange yenye ni ndoto Tanzania, sasa kwa hizi akili zako uchwara wanashinda Dar?., nyambaff wewe๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚

 
Mradi mmoja tu huu hapa zinaingia Pokuase ngapi vilee [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
"vi estate vyao vya bati nyekundu" inaitwa building code kitu ambacho najua hamfahamu na hamfuati huko danganyikaland. Nairobi sio uswazi wa Dar-is-a-slum ๐Ÿคฃ ๐Ÿคฃ ๐Ÿคฃ
 
Nchi za kiafrika bhn yn kanchi kamejenga interchange tu kamefilisika wkt Tz tunajenga mamiradi makubwa makubwa hayana hesabu na nchi inakwenda vzr tu, nyie jamani Tz tajiri jamani msione mnapata nafasi ya kubishana na sisi humu mkazani sisi ni saizi yenu.
 
"vi estate vyao vya bati nyekundu" inaitwa building code kitu ambacho najua hamfahamu na hamfuati huko danganyikaland. Nairobi sio uswazi wa Dar-is-a-slum [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787]
Tunajenga nyingi na za kisasa zaidi kule Dodoma just Google it utaona.
 
Mji wenye nyumba nyingi za udongo duniani [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Ni nini mmekamilisha kwa miaka tano zilizopita?.., fukara nyie, usijitekenye๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
"vi estate vyao vya bati nyekundu" inaitwa building code kitu ambacho najua hamfahamu na hamfuati huko danganyikaland. Nairobi sio uswazi wa Dar-is-a-slum ๐Ÿคฃ ๐Ÿคฃ ๐Ÿคฃ
Watajuaje kitu kama building code? The only 'building code' they know is uswazi hovels
 
Tuma na picha za makazi ya Kibera, Nairobi[emoji38][emoji38]
 
The first two pictures inaitwa uppercut punch๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
Ukiona hiyo street view ikipostiwa hapa utadhani ni sehemu moja high-class sana. Ngoja uone picha ya juu... Next to a glittering office building stands a shanty house in a very disorganized informal settlement that stretches several kilometers. And that's Dar for you!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ