Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Uchafu tupu huu.
Halafu wacha nikufundishe terminologies.
Hiyo picha uliyopost haina tarmacked access road hata moja na hata hiyo arterial road ni very poor quality.
View attachment 2473183
Eti mkenya anaita huu uchafu haya ngoja tulinganishe alafu wenyewe mtoe conclusion [emoji116][emoji116][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Unajua nilipoona jamaa wanajitapa na hicho kichochoro kidogo niwashe gari niinge mtaani nipige picha, yaani sisi vitu ambavyo vishakuwa kawaida hata hatustuki kumbe huko ni big deal, shukrani sana chief.
 
Barabara zote zina pedestrian path
 
Aisee, nilikuwa sijaona hii. Mm nilijua tu kwenye hili suala hawatuwezi kabisa na kama wanataka tuanze battle ya hizo access roads nawaambia haki ya mama hawatuwezi hata robo nina uhakika wa asilimia 200% na ndiyo maana hawaitaki hii battle ghafla wamehamia kwenye battle ya estate wamekimbia huku.
 
Nikisema access roads namaanisha hivi - yani barabara inayokupeleka kwako langoni. Hapo Dar vitu kama hizi hazipo - labda uende kwa hivyo vigated communioties vyao vyenye nyumba 70.

View attachment 2473266
Mkuu unajiaibisha sn na hizi roads unazoweka humu ukiita access roads, hapa Dar mzee tumechakaza kwa hizo roads na nmeweka sn humu wenzio wanajua.
 
Dar es salaam >>> Nairobi + Mombasa.
Sasa unataka nikuletee picha ya ufuo wa bahari kutoka Nairobi? You posted a picture of a beach area and said that itatuchukua miaka mingi kufika huko. Tumia akili sasa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…