Dar Bila Kariakoo Hakuna Dar wazee,Hii kariakoo imejengwa kwa jasho na damuView attachment 2472253View attachment 2472254
Hizi picha na zile za Sam Nujoma zinahitaji AWARD.
Dar -Morogoro section a distance of 200km will carry 17million tonnes. Hapo bado Dodoma, Mwanza and Kigoma.How many tonnes is sgr tanzania expected to carry vs sgr Kenya?
kweli IQ ya nyinyi watanzania hukua chini sanaπ€£π€£π€£. 17 million tonnes is for your whole section, Kenya will do 22 million tonnes and can be upgraded to 31 million tonnes in futureDar -Morogoro section a distance of 200km will carry 17million tonnes. Hapo bado Dodoma, Mwanza and Kigoma.
Bongolala Kama hili eneo ni slumKunyaland yote ni slums, Maradona juzi kaja kufanya slum/poverty tourism Kibera πππ
View attachment 2472237View attachment 2472238View attachment 2472239View attachment 2472240View attachment 2472241View attachment 2472242View attachment 2472243View attachment 2472244View attachment 2472245View attachment 2472246View attachment 2472247
Unajua kila kotu kinajengwa kulingana na mahitaji,iyo via duct iko hapo for a reason,sio kwamba ni urembo
Tumia akili wewe tulimpa kazi YAPI Merkez mkataba wa kujenga reli Dar Moro phase 1 hata ukiangalia technical report inasema phase 1 itabeba 17 million tons pa.kweli IQ ya nyinyi watanzania hukua chini sana[emoji1787][emoji1787][emoji1787]. 17 million tonnes is for your whole section, Kenya will do 22 million tonnes and can be upgraded to 31 million tonnes in future
ati what..!?Mbeya City tunayoijua sisi Ni hii hapa πView attachment 2472274View attachment 2472276View attachment 2472277View attachment 2472278View attachment 2472279View attachment 2472280View attachment 2472281View attachment 2472283View attachment 2472285View attachment 2472286View attachment 2472287View attachment 2472289View attachment 2472290 Hiyo nyingine kawekeni kwenye albamu Ikulu ya Ruto
Kenyan data you say? πππGo and show those rosy Kenyan data to a guy in Kibera or pipeline kama hajakukimbiza na mfuko wa mbolea.
waambie walete ukoko beach yao
Hili 'jiji' la Mbeya kuna wakati iliwahifanya uzinduzi wa lift na mapochopocho zikaandaliwa na hata ribbon kukatwa!. Watu walikula na kusherehekea kwenye hafla hiyo bab kubwa!ππ Watumbuizaji na wanenguaji viuno pia hawakuachwa nyuma. Walialikwa kuwaburudisha wageni mashuhuri walioalikwa kutoka pembe zote za Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kushuhudia uzinduzi wa lift ya kwanza katika 'jiji' la Mbeya.ati what..!?
tanzania's 5th largest ciyView attachment 2472415View attachment 2472416
Vs
kenya's 5th largest city View attachment 2472419View attachment 2472421View attachment 2472420
Are you the same person alikuwa akiongea vibaya kuhusu Old Town Mombasa? ππ karma for real is a biachUsiwe mshamba stone town ni protected area under UNESCO hakuna kinachoweza badilishwa hapo. Hiyo yenye hotels ndio new CBD.
Kama kawaida yao ππWatakuambia hii ni ya kitambo. π€£
π₯........pwo! pwo! pwo!... hii nayo ni kali sana mzee!π₯π₯π₯ heb bado rudia tena! na uongeze volume! π π’Hili 'jiji' la Mbeya kuna wakati iliwahifanya uzinduzi wa lift na mapochopocho zikaandaliwa na hata ribbon kukatwa!. Watu walikula na kusherehekea kwenye hafla hiyo bab kubwa!ππ Watumbuizaji na wanenguaji viuno pia hawakuachwa nyuma. Walialikwa kuwaburudisha wageni mashuhuri walioalikwa kutoka pembe zote za Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kushuhudia uzinduzi wa lift ya kwanza katika 'jiji' la Mbeya.
View attachment 2472452View attachment 2472451View attachment 2472448View attachment 2472449View attachment 2472450View attachment 2472452
Ukistaajabu ya Musa, utaona ya watanzania!!