Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Ka Nairobi kenyewe hakaingii kwa Zanzibar, ukitoa vi flyover juakali na vi estate vya mchongo vyenye bati nyekundu juu ka Nairobi hakaiwezi Zanzibar amini kwamba.
 

Yaani kuna ka mentality ka kila mtu Tanzania, yaani kila mtu anaamini lazima ajenge, mtu anajenga hata nyumba ya Mil 7, alafu ndio anaona amemaliza maisha.

Mimi nishaga sema nyumba yangu itaisha miaka 5. Nisijenge ovyo ovyo
 
Hakuna mji unaokaribia Zanzibar huko kundustan republic.
 
Watu masikini hapa EA wanajulikana ni akina nani na hilo lipo wazi
Ni wale wanaoshindwa kuhimili japo msosi au uongo [emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
 
Naona munaendelea kumpa zwazwa dawa zake ili apone 😆😆😆😆 anatuonesha mapori na barabara 15km and 20km away from cbm
Jamaa fala sana hawa, ukiwaambia Dar ni kubwa mara 4 ya Nairobi wanakuambia hata newyork ni ndogo kwa Dar, ukiwaaonesha development ya 30km away from CBD wanaenda kukuletea County ya murang'a eti nayo ni Nairobi 😂😂😂
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…