Desperation. Ukiona mtu anakana picha ya nchi yake, ujue ni pabaya😂😂Wakipigwa bao wanasema ni picha za kitambo yet huyo huyo mpuzi hushinda akirudia picha za Kibera na Mathare za 90s humu hadi anaongeza za Nigeria na India anasema ni Nairobi. 🤣 🤣
Ile picha ni ya zamani ,kwahyo usiambiwe?Wakipigwa bao wanasema ni picha za kitambo yet huyo huyo mpuzi hushinda akirudia picha za Kibera na Mathare za 90s humu hadi anaongeza za Nigeria na India anasema ni Nairobi. [emoji1787] [emoji1787]
Lazima wakane. Wana bahati hawana Google Street view huko kwao. Ningekuwa nawaumbua na images humu ndani kila siku. Ila naona Zanzibar imejitahidi kidogo ina streetview barabara kadhaa. mji ovyo sana. Barabara ni non-existent.Desperation. Ukiona mtu anakana picha ya nchi yake, ujue ni pabaya😂😂
Unakumbuka mwarabu mwitu Ichoboy akikana hii picha pia na kusema hapa si DarView attachment 2471261
Ngoa kabla waifanye wimbo. University of Ghana hiyo.Masinde Muliro University of Science and TechnologyView attachment 2471273
Sina noma ile anayesema ana mazoea ya kupost picha za Nairobi za 1990s. Halafu tukiwaambia wapost za sahii hawapost.Ile picha ni ya zamani ,kwahyo usiambiwe?
Siku mkiwa na BRT ndio tutaanza kuwafikiria.Baba Levo alisema miaka ni ngapi ndio wafikie Nairobi?
[emoji23][emoji23][emoji23] ila nyie...uongo utawapeleka wapi?Masinde Muliro University of Science and TechnologyView attachment 2471273
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] iyo ni Ghana Acha kujiabishaMasinde Muliro University of Science and TechnologyView attachment 2471273
Izo nyumba zimesimama wima sio poaBaba Levo alisema miaka ni ngapi ndio wafikie Nairobi?
Ilifaa zipinde ama?Izo nyumba zimesimama wima sio poa
Wacha tungoje jibu ya Engineer.😂Ilifaa zipinde ama?
Is this official source asante kwa picha za google 🤣🤣🤣🤣 eti kipawa nimecheka sanaDesperation. Ukiona mtu anakana picha ya nchi yake, ujue ni pabaya😂😂
Unakumbuka mwarabu mwitu Ichoboy akikana hii picha pia na kusema hapa si DarView attachment 2471261
Kwann hamuwez kuishi maisha yenu halisi? Kila siku kudanganya danganya. Unamdanganya nan na kwa faida ya nan?Masinde Muliro University of Science and TechnologyView attachment 2471273
Rudisha picha kwa wenyewe nayo alaf mwite na zwazwa aje kushangilia 🤣🤣🤣🤣Masinde Muliro University of Science and TechnologyView attachment 2471273
Kwenye maneno 100 ya mkenya chukua moja na usigeuke nyuma kaka 🤣🤣🤣🤣Kwann hamuwez kuishi maisha yenu halisi? Kila siku kudanganya danganya. Unamdanganya nan na kwa faida ya nan?