Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

🤣🤣🤣🤣 You are allowed to import very old cars, over 20 years na bado wengi wenu hata baiskeli hamwezi afford. 🤣🤣🤣🤣

Baada ya kugundua hamna magari ya maana sio? Wewe Mkustan mbona mnaruhusiwa ku-import chakula ila mna njaa still!?
 
🤣🤣🤣🤣 You are allowed to import very old cars, over 20 years na bado wengi wenu hata baiskeli hamwezi afford. 🤣🤣🤣🤣

🤣🤣🤣 Unaenda kuokota comments Twitter unajifurasha mwenyewe..
 
Yaani hizi picha ni real hazijapakwa lipstick,lipbam,make up,sunscreens wala wigi la mchina kama wafanyavyo kunyans kwenye picha zao [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Watanzania kwa domo domo hamjambo
 
Ohhh sijui wakenya wanaumia, wakenya wana hali ngumu. Hua mnajiona kweli?🤣🤣🤣

 
Generator zitaendelea kupiga kelele CBD na Kariakoo hadi 2025🤣🤣🤣🤣


 
Hii ndio mbagala nnayoijua mimi sasa, ile picha ya kwanza haikua mbagala.. Gari za Mbagala they always over crowded .. ile gari ipo empty kabisa then ulisema ati ni mbagala 🤣🤣
Eti always overcrowded kwani abiria hawashuki, tafuta excuse ingine we pimbi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…