Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kwan jengo limekamilika hapo?? Yani jengo liko 34% imagine mbona munakua wajinga kias hichi 😆😆😆 wivu wann mtoto wakiume ww jikaze budaa la sivo watakupumulia kwa style hii
So after building kuisha ndio watasongeza reli ndani ya jengo?
 
Why show me the render? Nionyeshe Kwa hii picha.

View attachment 2458398
Kwani mnuka mavi unaumizwa na nn, angalia video engineer anasema kabisa kuanzia dk 5:08, kama unaumizwa na Tz kuwa infrastructure za ulaya nenda ufe.

Alafu mbona hili ni jambo la kawaida kabisa, tushakuwa na miundombinu ya Europe hii sio mara ya kwanza, nyie endeleeni kushangilia expressway ya mchina a.k.a mradi mmoja [emoji116][emoji116][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

 
Mbona bado unaendelea kunionyesha tu render? Alafu usiniambie mambo ya Engineer kasema. Hata Magufuli pia mliambiwa Yuko ofisini anachapa kazi kumbe alikufa kitambo sana.
 
Si unaona hata zinafanana?
View attachment 2458410
Hii station imeinuka juu hakuna uwezekano wa hicho unachokisema cjui canopy cjui matakataka gn ni kujifariji tu, pia najua engeering ya Tz inakuchanganya sn, pole mnuka mavi, angalia jengo lilivyoinuka alafu jiulize iyo canopy cjui nn itakuwa wapi [emoji116][emoji116][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…