Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hizo miaka zote Kagame alikataa kutoa rebels wake Congo lakini after ameona KDF kwa ground aka surrender bila hata kufyatua risasi moja, amejua shit is real. Kwa ground mambo ni different, na ni KDF leading the EACRF ndio wako kwa ground. Your Kagame and his rebels are cowards.


General Nyagah hapo Goma yeye ndio kusema wengine wanatii.



Ona mtu wako wa RDF vile anaskia vibaya. 🤣 🤣 🤣
 
Bado mnatumia bunduki za kizamani sana 😁 😁 😁 😁

 
heb revisit pg21233 upate kutazama tena mombasani vizuri kama ni uswazi jinsi unavyo sisitiza na kuadaa wakuu humu..
Mombasa mm nimefika mara nyingi au unataka kunidanganya mombasa gani 🤣🤣🤣🤣🤣 au ww unataka kusemaje labda nikuskilize
 
Inaskitisha hii nchi 🤣🤣🤣tusema maskini hawatakula nyama na ndio wengi zaidi ya 75%



🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Hawa ni ndugu zetu,wenzetu kabisa. Matatizo yao kama yetu
wish tu ungepata fursa kufika kanairobaa and beyond, ata hadi thika, nyeri, meru, naxar, eldy, kisumu, kakamega, ata kwetu kco, ndo ujue kenya ni king ya eastern africa kwa affluence, living standards and general lifestyle as a whole.! hio kieleweke na si tafadhali.!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…