Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

International Community wameshinda Congo under MONUSCO na hakuna much progress walileta Congo. KDF pekee ndio wamesalimisha M23 amri na wakaondoka kama waoga. 🤣 🤣 🤣 Kagame amejua super power wa EAC ni nani.
WE KWA MAWAZO YAKO UNAFIKILI KAGAME KAWAONDOA M23 (RDF) KISA KDF. TUONYESHE USHAHIDI HAPA KWAMBA WAMEOGOPA KUPIGANA NA KDF.
TENA INGEINGIA VITA NA M23 NDO KAGAME ANGEFURAHI ZAIDI COZ ANGEPATA UHALALI WA KUUKUZA OZOZO KWA NJIA YA KUONGEZA VIJANA KULE CONGO. NA NDIVYO ALIVYOKUWA NATAKA SEMA IMESHINDIKANA.
 

Unaongelea Laikipia BJ 50?
 
 
HAYA RAIA WA KULE WANAVYOSEMA CONGO MSIKILIZE KIIZA
 
si pia wee hapo umeona mombasani inatesa ile mbaya🔥
heb basi waeleze hawa watu idadi ya wageni kwa wakati huu waliorundika mombasani kwa ajili ya hii krismasi.. usione aibu masera.. fungua roho kaka.. tunakuenzi
View attachment 2457653
Ni mji mzuri kwakweli,ila ndio kama Tz tu Kuna sehemu inabidi turekebishe. Vibrant,busy its alright
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…