Kusema ule ukweli mm ni mtanzania na nimeishi kwa miaka zaidi ya 25 Tz ..na ni mfanya biashara mkubwa kwa kiasi chake ..cjawai kutana na MTz mwenye accnt KCB au equity ..kuwepo watakuepo ..sema Wa Tz weng sana hasa wakipato cha kati hutumia bank za Ki Tz so i dont call Kenyan banks successful in Tz ..tukienda kwenye kubet still Sportpesa cjawai ifikiria cjui kwann lakin Wa Tz weng hawajachangamikia Sportpesa ..na bado haijafikia kampuni kama Mbet au merdian bet ...Mpesa cjui mnayosema yenu yes inatumika sana Tz ila mm najua cio ya Kenya.
Supermarkets nakumatt ina struggle ..uchumi imeshafungwa ..but ukiangalia TSN (Tanzania Sisi Nyumbani) supermarket..inazid kupamba moto..Village Supermarket na Shoppers supermarket wako vzuri ..pia na cjawai ckia wanataka wafunge branch
Lets Talk about CENTURY CINEMAX its is a Tanzanian Cinema company ..inafanya vzur kenya na Uganda ..they even have CENTURY IMAX At Garden City mall