Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Chukueni muzoom hio picha ya chini kabisa hzo nyumba zote ni za udongo 🀣🀣🀣🀣🀣 imekolezwa filter vibaya mno
View attachment 2455380
Hii picha ya old Town ndio unatumia, alafu mwaka gani., wacha nikusaidie kidogo..,
Old town yenyewe kwa sasa, porojo tunaumbua.,
Alafu unajidai kujua Mombasa, hii old town ana face nini opposite yake?

Street level old town

Hiyo picha unayo danganya wenzako wa zoom hii hapo, sehemu tofauti kabisa, ukielekea makupa.., Kiboko ya Dar.,

Picha hizi zinaweza kulinganishwa na Unguja Mkoa wa Mjini Magharibi
 
Nyie angalieni vile make up imekolezwa hapo na bado ni ushuzi🀣🀣🀣🀣
 
The same pic bila filter nimepost 🀣🀣🀣🀣🀣 nyumba za udongo
 
Vijumba over 85% ni udongo mtupu bila filter utasema ni kibera nyingine
View attachment 2455397View attachment 2455398
Wacha kupotosha, hii ni filter? iko very clear, nini ya kuficha hapa?.., Mwehu hana pakutokea., onyesha anything outside Dar kubwa hivi?.., with such density nifunge account 😝 😝 πŸ”₯ πŸ”₯ πŸ”₯ πŸ”₯ πŸ”₯ πŸ”₯ unanyooka πŸ˜‚

The same pic bila filter nimepost 🀣🀣🀣🀣🀣 nyumba za udongo
View attachment 2455419View attachment 2455420
Hii ni blurred image kilaza, wacha ujinga..., weka clear picture.., unaogopa nini? pia na Mwanza uchanganye Arusha na Dodoma hazitoshiπŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚
 
Picha hizi zinaweza kulinganishwa na Unguja Mkoa wa Mjini Magharibi
Sawa pia mimi nimeona hivyo, wamebakia na empty domo domo, hadi raha πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚
 
Hii ni blurred image kilaza, wacha ujinga..., weka clear picture.., unaogopa nini? pia na Mwanza uchanganye Arusha na Dodoma hazitoshiπŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚
Utafika mbinguni umechoka sana. Hivi leo umekula kweli!?

Unajua Kitu hiki?
Dar Yacht Club!?

Nyie angalieni vile make up imekolezwa hapo na bado ni ushuzi🀣🀣🀣🀣
View attachment 2455415
Old town pekee, kasehemu ka Mombasa is far bigger than Mwanza, Arusha, Dodoma towns(hizo sio cities) combined..., πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚.., wacha kulialia, sio makosa yangu, Tanzania bado sana..,
 
Narudia tena ukipata street level za aina hii mombasa unitag nifunge acc mara moja na suburb za level hzi 🀣🀣🀣🀣🀣🀣
 
Old town pekee wapi mpaka CBD kuna majumba ya udongo kibao sijui mwembe tayari mpaka mwembe kuku huko kote majumba ya udongo utamdanganya nani hapa 🀣🀣🀣🀣🀣 mpaka maeeneo ya chuda huko yamejaa kibao na kule likoni ndio usiseme slums za kufkia
 
Hii ni blurred image kilaza, wacha ujinga..., weka clear picture.., unaogopa nini? pia na Mwanza uchanganye Arusha na Dodoma hazitoshiπŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚
Same bila filter 🀣🀣🀣🀣🀣 yani mombasa ni vituko kuna economy gani zaidi ya port
 
Umeanza kuleta uswahili kwenye mambo ya msingi achana nao tuende sawa
Kuniita poor unanikosea mno. Jana nilikuuliza issue yako ya Ghana. Mpaka leo hujanieleza. Nilikuuliza swali issue ya Ghana kuwa bankrupt inatuhusu nini sisi!? Hujanijibu. Nikakuuliza tena unataka tusikope!? Hujanijibu sasa unataka nikueleweje!?

Nakuuliza swali unieleweshe. Hutaki. Leo umeamka ukiwa na hasira na mimi. Unaanza kuniita poor. Are you serious!?
 
Narudia tena ukipata street level za aina hii mombasa unitag nifunge acc mara moja na suburb za level hzi 🀣🀣🀣🀣🀣🀣
Eti nini kilaza? ebu rudia tena sijakuskia vizuriπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Wewe ni kichaa ama mwendawazimu wa kupindukia.., Mombasa mwenzake ni Dar pekee in Tanzania., kalilie kwa choo πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Electric Tuk Tuk pale Mwembe Tayari Mombasa

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…