The best 007
JF-Expert Member
- Oct 6, 2019
- 42,667
- 98,999
Wakenya bhn ni waongo sana aisee analeta render ili kujifariji akidhani watu wataingia mkenge, yn hawa mbwa ukizubaa tu wamekupiga [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Asante kwa render leta real pictures sasa ikionesha hzo boats [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] hio marina mm nishafika haya tuoneshe sasa
Nilikua na nimeenda kutafuta nimkamate 🤣🤣🤣🤣🤣🤣 msenge, muongo kinoma.. yupo radhi adanganye Ili waonekane wapo vizur na wao 🤣🤣🤣.Haya nioneshe hio sehem ya maegeshi ya boats ziko wapi hapo 🤣🤣🤣🤣🤣🤣 unaleta picha za render wakat mwekezaji mwenyewe anajuta hakuna biashara na hio sehem yote juu ni mbao kwa ajili ya kutembea View attachment 2455366
In Tanzania Dar tu ndio city ya maana, na ni kasehemu kadogo.., hii 👇 area pekee.., Tanzania imefanya nika appreciate Mombasa..,Utalia hadi machozi ya damu wewe mwarabu mwitu 😂😂😂
View attachment 2455347
Kaa ufikiri [emoji848]Nilijua utakuja na hekaya za abunuasi..,uongo, porojo, unajitetea tu, hadi raha, na bado, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hata usihangaike bro hio hoteli naijua nishafika mpaka picha nilizopiga ninazo mwambie adanganye aone mtiti hata usihangaike dawa yake ninayo mm 🤣🤣🤣Nilikua na nimeenda kutafuta nimkamate 🤣🤣🤣🤣🤣🤣 msenge, muongo kinoma.. yupo radhi adanganye Ili waonekane wapo vizur na wao 🤣🤣🤣.
Mm alishanipiga tayari, hawa jamaa tuwe nao makini sana [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Mbona umepost renda.? EA's First super yatch.? [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]huna cha kupost kausha
Tunaongelea water sports. Usihamishe mada. Tuoneshe water sports kutoka kenya.In Tanzania Dar tu ndio city ya maana, na ni kasehemu kadogo.., hii 👇 area pekee.., Tanzania imefanya nika appreciate Mombasa..,
View attachment 2455362
View attachment 2455365
Mombasa, The white and blue city.., 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
View attachment 2455368
View attachment 2455371
View attachment 2455372
Chukueni muzoom hio picha ya chini kabisa hzo nyumba zote ni za udongo 🤣🤣🤣🤣🤣 imekolezwa filter vibaya mnoIn Tanzania Dar tu ndio city ya maana, na ni kasehemu kadogo.., hii 👇 area pekee.., Tanzania imefanya nika appreciate Mombasa..,
View attachment 2455362
View attachment 2455365
Mombasa, The white and blue city.., 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
View attachment 2455368
View attachment 2455371
View attachment 2455372
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Chukueni muzoom hio picha ya chini kabisa hzo nyumba zote ni za udongo [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] imekolezwa filter vibaya mno
View attachment 2455380
What kind of idiot will believe these bogus numbers?
Hii mombasa league yake ni Unguja, hata ARUSHA ni bora kuliko mombasaChukueni muzoom hio picha ya chini kabisa hzo nyumba zote ni za udongo 🤣🤣🤣🤣🤣 imekolezwa filter vibaya mno
View attachment 2455380
View attachment 2455381
Tayari umeshaumia. Je mnaweza kufanya haya kwenye picha hii!? Nikikubana usisahau kuja na ike ID yako nyingine ya matusi.What kind of idiot will believe these bogus numbers?
ARUSHA ni zaidi ya Mombasa ..Arusha - The East & Central Africa Safari Capital View attachment 2455382
View attachment 2455383
View attachment 2455384
View attachment 2455385
Vijumba over 85% ni udongo mtupu bila filter utasema ni kibera nyingineHii mombasa league yake ni Unguja, hata ARUSHA ni bora kuliko mombasa
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]Nimefuatilia comments zako zote tangu ujiunge 2016 hapa JF. 99.9% ya comments zako ni kwenye jukwaa la kenya news.
Comment chache sana kwenye sports na habari mchanganyiko.
Taungu ujiunge mwaka huo umekuwa unatumia wastani wa masaa 16 kila siku kuwemo JF.
Hii inanipa wasi wasi sana.
Nadhani kuna kitu ulikuwa unakitegemea kimegonga mwamba sasa huna matumaini tena.
Mtu akikosa matumaini hubadirika na kujikataa. Anaweza akafanya chochote maana hana future tena.
Kwa namna nilivyofuatilia comments zako zinaonesha wewe ni kijana umri wako ni kati ya 25 mpaka 36.
Nakusihi wewe bado ni kijana, unanguvu. Usijikatie tamaa.
Uliijiingiza kwenye siasa bila kujua kuwa unaingia kwenye siasa. Hukuwa na maandalizi.
Nakusihi kaa nje kidogo na JF kwa muda wa miezi mitatu mpaka mitano ili akili yako ikae sawa.
HUU NI USHAURI TU.