Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Citizen TV ni noma.., those vehicles are called OB vans.., (outside broadcasting vans) still needed today., Citizen has many OB Vans na pia wako na chopper..., I doubt kuna any media house in Tz with a news Chopper..,
View attachment 2454632
Unaleta mambo ya mwaka arobaini na saba kujitapa hapa! Why have a chopper while you can have a drone!? Au hujui drone ni nini?

Nikupe lesson kuhusu drones??
 
You think business is receiving cash and giving change!

Katika maisha yako ushawahi kuandika hata business plan wewe nyang'au!?
Kuandika business plan is the only thing you know about business?🤣🤣😂😂
 
Unaleta mambo ya mwaka arobaini na saba kujitapa hapa! Why have a chopper while you can have a drone!? Au hujui drone ni nini?

Nikupe lesson kuhusu drones??
Drones itabeba journalists? Mbona watanzania wengi ni wajinga hivi?
 
Hebu pitia kipande hiki kisha uniletee kutoka Nairobary kivideo
BRT Phase II Dar es salaam

Sisi tuko na zetu sio tu Nairobi..,
Functioning Expressway..,

Functioning superhighway

Functioning SGR

Mombasa city roads..,
 
Unaleta mambo ya mwaka arobaini na saba kujitapa hapa! Why have a chopper while you can have a drone!? Au hujui drone ni nini?

Nikupe lesson kuhusu drones??
Chopper takes journalists to the scene of news breakout fast kilaza.., drones ni vitu vya kawaida sana, kila youtuber ana own drone, private photography shops own drones for events like weddings, funerals, birthday parties etc, ushamba tuondolee, very few youtubers from Tz own drones.., Chopper is something else..., in Tz which media house has a chopper?
 
Do you have this proof?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…