Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

in a way, I agree with you...wacha tuseme tu ni uongozi mbaya ulioharibu nchi hii....mashamba makubwa yamo mikononi mwa watu wachache...
kwa Mara ya kwanza....[emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122]
 
Tatizo watu wa dar hamna picha, mi ningekuwa naishi dar ningekuwa napiga sema sahivi sipo dar.
tatizo ni kwamba wengi wetu(watz) ambao tupo kwenye hii thread since day one, tupo occupied zaidi na majukumu mengine.

wengine tunaichukulia hii thread ni kama ziada tu ya kutuliza akili baada majukumu ya siku nzima ya kulijenga taifa.

ila tukiamua kuwa serious kuingia mtaani kupiga picha,hakika tutapata picha nyingi na nzuri za dar ukizingatia kuwa dar ina maeneo mengi yenye mvuto wa kipekee kuzidi nairobi.

karibia picha zote za dar tulizo upload na tunazo endelea ku-upload,ni za ku-download toka katika vyanzo vingine.

hata hivyo bado picha hizo zinawatoa jasho wakenya.wengi wanabaki kuduwaa wasiamini kuwa hii ndio ile dar waliyokuwa wanaidharau miaka kadhaa iliyopita.

kumbuka kuwa unemployment rate kwa kenya ni kubwa sana kuzidi tz,ndio maana hawa vijana wa kikenya wa hapa jf, wanapata mda wa kutosha wa kuzurula mitaa ya nairobi CBD kupiga picha....wengi wao ni ma-jobless.[emoji23]
 
Tumewanasa
CYTONN
Larger renders:












__________________
-happening in Nairobi
omg!..who did this?.....I mean the artwork from the render concept ?....it's so so beautiful.....i love renders.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122]
 
 
Nyinyi tushazoea story zenu za uwongo......mmeishiwa sasa ni excuses. Nchi ya ajira mbona mko kwa least developed category ama ni kazi ya kuvua dagaa na samaki baharini. Smh. ......Kenya ni kazi bora

Tanzania ni bora kazi...
 
Kenya nayo hamtachelewa kuja hata na matusi yenu......nitawachangia tu nikiwapata kwa streets

 
They claim they don't have slums. ....this is the middle class.....hahaha
 
Must you always be bitter and hurling insults. ...smh

Nyinyi tushazoea story zenu za uwongo......mmeishiwa sasa ni excuses. Nchi ya ajira mbona mko kwa least developed category ama ni kazi ya kuvua dagaa na samaki baharini. Smh. ......Kenya ni kazi bora

Tanzania ni bora kazi...

Kenya nayo hamtachelewa kuja hata na matusi yenu......nitawachangia tu nikiwapata kwa streets


Nairobi
NASA Cairo
NASA Johannesburg
NASA Lagos
NASA Casablanca
Dar es salaam nayo haitoshi nikama ekuro okoth

Wanaforce battle haiko na city yao yenye mpangilio side ya residential ni msamiati

They claim they don't have slums. ....this is the middle class.....hahaha
hii ndio shida ya kuamka asubuhi,unapata kwa mfuko hauna kitu na job huna.matokeo yake unakuja kupiga porojo kwa jf juu wewe ni jobless.[emoji23]
 
wacha nikuumize zaidi...tazama hii video utabaki mdomo wazi...na ikumbukwe Cyton nikampuni ya Kikenya wala si foreign
asante kwa renderπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ napenda sana render
 
hapo tumenasa mpaka waafrika kusini...Nairobi sasa ndio kusema..just wish this project was being built neat the CBD or close to Montave instead of kilimani...
endeleeni kuota na kutuonesha renders huku uchumi unakufa kila sikuπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…