Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

We know the reality on the ground Kenya is only good atleast on papers so those stats are non starter to me.
 
Nasikia mna rolling stock za kuchuchumaa hiyo fossil guzzler ikifika hapo kwenye tunnel [emoji16]
Kenya Diesel train inavuta double stack containers na fake electric train ya danganyika haivuti double stack [emoji23][emoji23][emoji125]
 
Hapana ila huwa zina chuchumaa zikifika kwenye tunnel [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Haja ya sgr ya Kenya ni kutoa mzigo from point A to point B, mambo ya urembo wa train achia waisilamu waarabu fake kutoka Danganyika
 
Sawa moving cargo from point A to B bila kujali mazingira!!!
Climate change is a hoax. Tena wazungu usa na china ndio wanaharibu mazingira kuliko waafrika kutumia nuclear wars, testing and reactors etc...
 
just imagine from here👇🏽..😳

Mombasa!

to here👇🏽

Dubai!

4× a week!!
nb: kenya, sio nairobi tu

cheki maneno👇🏽


na try tu ku imagine ingekua KIA!🤔🤔
walai! humu ndani hakungekalika!..

hio kelele nayo!

cc: Geza Ulole and The best 007 especially🤣🤣
 

Mtakuwa mnapeleka wafanyakazi wa ndani na wanauza viungo vya mwili. Then mje kulalamika unafanyiwa ukatili
 
Mtakuwa mnapeleka wafanyakazi wa ndani na wanauza viungo vya mwili. Then mje kulalamika unafanyiwa ukatili
lakini ubaki ukijua

UAE🇦🇪 ama Qatar🇶🇦

sio

Saudia 🇸🇦

hio nayo lazma kieleweke!!☝🏽
 
Leta double stack train ikipita hapo Ukunyani wacha kuokoteza picha!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…