Aisee jibu la kibabe hili [emoji123][emoji123][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122]Kwa elimu gani uliyonayo haunaga hata aibu mzee wa kudownload hela na kujimwambafy.
Ungekua smart usingekua unaandika broken humu watu wanakusahihisha mara kadhaa. Jifunze kuishi low profile sio unaleta arrogance ya kizembe.
Ungekua busy usingekua daily unaandika humu. Maana yake unamuda mwingi wakuchezea
Sent using Jamii Forums mobile app
Kaka mkubwa hapa kati kutapata flyover pia.?
Kwani nyinyi hamujui kama serekali yenu inapika data ili iwatulize mioyo yenu au leo unakataa🤣🤣🤣🤣🤣Umefinywa penyewe sasa ni vijisababu eti kupika data, brathe mko down sana in comparison, jikubalini bana 😂 😂 😂 😂 😂 😂
Sasa hutaki iwe MGR🤣🤣🤣Stop comforting yourself after getting disapointed with your bullet trains
Kila nchi iko na taratibu zake. Si lazima yetu ifanane na yenu. The mandate of the KDF is to protect Kenyan borders against external attacks. Ulinzi wa ndani ni kazi ya polisi, si wanajeshiKàzi ya jeshi lenu ni nini mzee.? naomba unifundishe
Labda nikupe history kidogo tanzanian suala la vita ya congo halikuanza leo wala jana na uhuru wao umetokana na jeshi la tanzania sasa leo munaona ajabu kupeleka jeshi congo wakat kwa tanzania ni mambo ya kawaida sana 🤣🤣 yani munachekesha sanaKila nchi iko na taratibu zake. Si lazima yetu ifanane na yenu. The mandate of the KDF is to protect Kenyan borders against external attacks. Ulinzi wa ndani ni kazi ya polisi, si wanajeshi
Hii ndio ubaya wa kudandia kisichokuhusu. Ni wapi nimetaja Congo kwenye sentensi yangu? Read to understand bongolala. Huu mwasho wote umetoa wapi asubuhi hii?!Labda nikupe history kidogo tanzanian suala la vita ya congo halikuanza leo wala jana na uhuru wao umetokana na jeshi la tanzania sasa leo munaona ajabu kupeleka jeshi congo wakat kwa tanzania ni mambo ya kawaida sana 🤣🤣 yani munachekesha sana
Tatizo lenu kupeleka jeshi congo munaona kama jambo kubwa sana kwenu 🤣🤣 tunawaona washamba sanaHii ndio ubaya wa kudandia kisichokuhusu. Ni wapi nimetaja Congo kwenye sentensi yangu? Read to understand bongolala. Huu mwasho wote umetoa wapi asubuhi hii?!
hapo pana nini jipya? ushuzi tu
Hujajibu swali langu. Ni wapi nilitaja neno Congo kwenye ile post yangu uliyoquote?Tatizo lenu kupeleka jeshi congo munaona kama jambo kubwa sana kwenu 🤣🤣 tunawaona washamba sana