Kwa maoni yangu kwa sasa nairobi iko mbele kimiundombinu kuliko dar but naona as compaired to 15 years back dar imeendelea kwa kasi kubwa kuliko kasi ya development ya Nairobi nadhani kama uchumi wetu ungeendelea na kasi iliyokuwepo kwa miaka 8 nyuma basi yumkini baada ya miaka 10+ dar ingweza kuiacha nairobi kwa mbali sana hasa ukizingatia geographical location yake bara , mwambao wa pwani na Visiwa....katika nadharia za uchumi ardhi ( Location Inertia Principal) ni dhahiri mandhari ya Dar inaweza kuwa bora kuliko miji mingi africa na hasa position yake kutoka kaskazini na kusini mwa africa.