Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

PRIMITIVE DANGANYIKA, Kenya ukifanya upuzi kama huu unashtakiwa na aggreviated assault. Kifungo ni 5 years+

Screenshot_20221214-162304.jpg
 
Do u really understand economics? ama wewe ni boya kama The best 007 😂 😂 😂 ., slow growth caused by external factors happens n is temporal, it affects all countries, Tanzania included, besides 5% growth ya GDP ya $116B, ni kubwa zaidi ya growth of 7% ya uchumi wenu? na mko wengi na taifa kubwa, najua uchumi wa Tanzania hautakua kwa hicho kiwango hivi karibuni, do u know huu mwaka uchumi wa Tanzania utakua kwa kiwango kipi? ungetafuta taarifa kuhusu Tanzania kisha ulinganishe, mko pabaya na taifa ni kubwa na mko wengi pia, mnahitaji ukuaji wa uchumi kwa kiwango cha 10% and above kuepuka umaskini mlio nao kwa kizazi hiki, la sivyo hamtoki kwa ufukara hadi dunia inaisha..,
screenshot_20221213-165309-png.2446464
Aliyekwambia Ni temporary Ni Nani au ndio kujifariji mwenyewe? 😂😂🤪😂.

Meanwhile Tanzania Hali iko hivi 👇
Screenshot_20221214-181854.png
20221214_110446.jpg
 
Waziri wenu huyo na waziri wa mama

I told you people your SGR was loan from start to finish, now see the truth is just coming out. Ama bado you believe that Tanzania built the phase one with internal funds?
 
Japo mimi sio mtaalamu wa uchumi lakini sijaona kama kuna mahusiano ya kulipa deni la mkandarasi na kupaa kwa deni la taifa

Sijaelewa pia huo uhusiano.
Kazi inaendelea so mkandarasi atataka alipwe malipo labda so serikali itatafuta pesa ya kumlipa , sijui.
Wakunya wanatamani sana wasikie kipande cha Dar Moro kikisemwa ni mkopo, huoni hiyo kondoo isiyo fahamu lugha yoyote ishakimbilia kusema deni
Ndio maana unakuta mkunya ana apps zaidi za kumi za loans Kwenye simu.
 
First what's export? Maybe I have talking to school dropout thinking that I'm arguing with a mature man. What's export?
Sale of goods and services outside the customs cotrolled area such as EA custom union. Happy now bozo

Sales within EA are categorised as internal trade.

Wewe elezea unavyojua wewe sio google utalemaza akili yako.
 
Exports of goods and services outside the customs cotrolled area such as EA custom union. Happy now bozo

Sales within EA are categorised as internal trade.

Wewe elezea unavyojua wewe sio google utalemaza akili yako.
Kumbe wajinga wako wengi Tz😂😂😂.

Export is the sale of goods and services outside the boundaries of country of origin.


Go back to school you idiot.
 
Back
Top Bottom