Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Mbeya City.

 
Standard the whole of Tanzania..., kwa mapana na marefu., ๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜‚
 
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ Tanzania ni 6 world.., hii kijiji ni City!!!!.., Uganda B ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Alafu utaskia wakikuambia ati they are more urbanized kumbe vijiji ndio wanapachika city status๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿ˜‚๐Ÿคฃ
 
Kwnn unazoom sasa, unataka kumuongopea nani [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
I zoomed out to show you the extent of Loresho. Still, I couldn't capture the whole area in a single screenshot so I had to do two. Loresho huwezilinganisha hata na ile mtaa wenu wa kifahari yenye barabara za vumbi
 
Kuna miji mizuri tu Tanzania na haijatajwa kuwa ni cities
Iringa, Moshi, Tabora, Morogoro, Singida na miji mingine kibao
Mbeya imekuwa city sio kisa hayo majengo. Iringa na Moshi town ni pazuri kuliko hata Mbeya ila sio cities
Kila nchi ina standards zake katika kuuita mji fulani "A City"
 
Dodoma ipo gud bro ila Mbeya nawapa hapo ni CBD, Actually Dodoma CBD ake inapanuka na kupendeza sana, means changes zinafanyika kila siku. Now naweza compare Dodoma na Naiporini na zikatoshana Nguvu, Kenya commercial city na Capital City ni hyohyo ๐Ÿคญ๐Ÿคญ๐Ÿคญ
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ