Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kutoka kuwa multi billion logistics corridor to/from kenya, Uganda, DRC, Rwanda, Burundi, Ethiopia, sudan and Somalia mpaka kuwa dalali-tapeli wa mifugo ukanda wa jangwani [emoji1787] hii u-turn haijawahi tokea! [emoji23]

Bila shaka kutakuwa na udalali wa mkaa pia toka Kismayo unaoletwa na KDF [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Ngoja nikusaidie kidogo. Je wana mahindi ya kunywa uji? [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Tena akifikiria kupata speed kama ya Tz sgr inabidi afumue reli yote na kuongeza uimara wa tuta ndio anachanganyikiwa kabisa huku deni bado linamshinda.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…