Hawana kilimo kama cha Tanzania, hawana migodi kama ya Tanzania na hawana fossil energy inayotumika from their own sources kama Tanzania hivyo our debt is highly sustainable compared to theirs at 100% of GDP.Deni letu ni trillion 91 lenu ni trillion 170 [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787],
hamna brt, hamna 2400 megawatts dam, hamna bullet trains, hamna bandari kama za Tanzania, hamna airports kama za Tanzania, hamna EACOP pipeline kama Tanzania, hamna barabara kama za Tanzania, hamna Universities kama za Tanzania, hamna water systems kama za Tanzania! Hamna hamna hamna hamna hamna
Umejibu kama kondoo kumiDeni letu ni trillion 91 lenu ni trillion 170 🤣🤣🤣🤣🤣,
hamna brt, hamna 2400 megawatts dam, hamna bullet trains, hamna bandari kama za Tanzania, hamna airports kama za Tanzania, hamna EACOP pipeline kama Tanzania, hamna barabara kama za Tanzania, hamna Universities kama za Tanzania, hamna water systems kama za Tanzania! Hamna hamna hamna hamna hamna
😂😂😂😂 Hawa watu wapumbavu sana na mpaka saivi deni lao ni zaidi ya trillion 190 sababu tayari huyu kakopa zaidi ya $ billion 3, ukiangalia walichofanyia hizo pesa hakuna kitu 😂😂😂🤣🤣🤣 Hawana kila kitu
Sasa unabisha hamdaiwi zaidi ya trillion 170?
Trade deficit yao ni zaidi ya $ 12 billion, uchumi wao wote unategemea importation taxes sio domestic production, angalau wangechukua mikopo kuwekeza kwenye strategic production areas, sielewi wamepeleka wapi mapesa yote hayoHawana kilimo kama cha Tanzania, hawana migodi kama ya Tanzania na hawana fossil energy inayotumika from their own sources kama Tanzania hivyo our debt is highly sustainable compared to theirs at 100% of GDP.
Write in dollars or Ksh. Pesa za madafu sielewani nazo.Sasa unabisha hamdaiwi zaidi ya trillion 170?
Dah aisee
KDF is the best army in the region. They are also the richest.Dah aisee
Back home ni bandits kila kona
Pedestrian bridge sio?KDF helping parts of DRC with vital infrastructure to help with easy mobility.View attachment 2442104
Best in what exactly?KDF is the best army in the region. They are also the richest.
View attachment 2442116View attachment 2442117View attachment 2442119
And Kenya debt to GDP ratio is 90%[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Tanzanian debt to GDP is now at 58% with the external debt amounting to 70%. In Kenya external debt is 50% and internal 50%.
Mngemleta magufuli Kenya mapema, mambo hayangekorogeka... Tafakari hayo!Sio mfatiliaji wa siasa za kunyaland lakini huyu kiongozi wao wamlete muhimbili haraka kabla mambo hayajakorogeka zaidi
View attachment 2442180
Nakuuliza wewe sasa, hebu niambie EMU zitakuja au haziji? [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]So you know better than your minister? Hakuna mtu amesema trains zenu zitaenda 200km/h. We've always known that zitaenda 160km/h max. Waziri wenu aligusia speed coz watanzania wengi vilaza you included wanatarajia kuona vichwa vya treni that can only operate at a minimum speed of 200km/h while in reality that is not the case as per your sgr design.
In short, he's just bringing you back to your senses and reminding you that you only get what you designed and burgained for. Umeelewa bongolala?
So, EMU zitakuja au haziji [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Ulifinywa penyewe, huo ukweli umekutesa sana, pole mjukuu, ni dunia ilivyo zoea mapema usije ukafa kabla ujabalehe [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji23]
Kudos Teargass
Aisee tumechoka na haya majengo ya mchina, yapumzisheni tafadhali.The pride of East Africa
View attachment 2441595