babayao255
JF-Expert Member
- Apr 4, 2019
- 13,427
- 36,042
We are used to good roads so when we see such lazima tuwe na Hasira. Huko kwenu kama wenye hela hizi ndio barabara zao sasa nyinyi mafukara zenu zinakaa aje..................................yet mmezoea tu hivo hata hamna waas. [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787]
It's not about roads it's about living condition ya pipeline ambapo wengi mnaishi.We are used to good roads so when we see such lazima tuwe na Hasira. Huko kwenu kama wenye hela hizi ndio barabara zao sasa nyinyi mafukara zenu zinakaa aje..................................yet mmezoea tu hivo hata hamna waas. [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787]
Na jamaa ako na hasira huyo [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]“Angry na maisha” detected.
Kwa jina lingine hua anaitwa zwazwa 🤣“Angry na maisha” detected.
Bado nangoja.Bado haimake sense.
Wait nikushow jambo
Hilo zwazwa kweli aisee hahahaaaaaKwa jina lingine hua anaitwa zwazwa [emoji1787]
Nairobi haina shule zozote kuizidi ArushaThe number of arushans in nairobi hospitals and schools ni wengi
Sent from my SM-A705FN using JamiiForums mobile app
This is Nandi Road in Karen. Heri uache kupost tu maanake ukosefu wako wa akili unajitokeza saana.
Unajua maana ya neno near ama utaendeleza ile stereotype ya Wabongo kutojua Kiingereza?
Na jamaa ako na hasira huyo [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Uswazi Mbagala wana barabara nzuri kuliko Karen 😂😂😂😂This is Nandi Road in Karen. Heri uache kupost tu maanake ukosefu wako wa akili unajitokeza saana.
Hapo ni main road. Ingia ndani hapo ni vumbi tupu.Uswazi Mbagala wana barabara nzuri kuliko Karen 😂😂😂😂
Nioneshe Karen barabara kama hizi za Mbagala
Alafu unlike Dar, Nairobi tuna Google Street view, yani ukibisha tunakutolea tu.This is Nandi Road in Karen. Heri uache kupost tu maanake ukosefu wako wa akili unajitokeza saana.
Barabara hizo ni za ndani ndani kote lami, Karen haiwezi kuwa na barabara kama hizo zipo marked, street lights, storm drainage, signed, sidewalksHapo ni main road. Ingia ndani hapo ni vumbi tupu.
Hata gari zinaweza ingia hapa kweli? 🤣
View attachment 2440038
Acha kuokotakota picha. Google image of Nandi Road Karen.
Nawaambia kila siku humu ndani 😆😆Hilo zwazwa kweli aisee hahahaaaaa