Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Umeeleweka.
 
Wewe si bure ni taahira [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mtu ushaambiwa nchi yako 99% ni desert lkn bado unataka kushindana na nchi zilizojaaliwa, sahizi hapa wanataka kushindana ukijani wa nchi yao na Tz, likija suala la kuwa na njaa wanakuambia nchi yetu ni desert, hawa watu ni wapumbavu wa kuzaliwa.
 
Umeona kaanza excuse mbwa huyu [emoji3516][emoji3516][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mtu ushaambiwa nchi yako 99% ni desert lkn bado unataka kushindana na nchi zilizojaaliwa, sahizi hapa wanataka kushindana ukijani wa nchi yao na Tz, likija suala la kuwa na njaa wanakuambia nchi yetu ni desert, hawa watu ni wapumbavu wa kuzaliwa.
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ Kwenye njaa the first reason ni desert, saivi akili zimewahama ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
sgr ya danganyika haifiki port, what a waste of sgr potential
 

Attachments

  • kenya rail.png
    178.8 KB · Views: 26
  • kenya rail.png
    184.1 KB · Views: 25
Miaka kama 20 ijayo tutaweza kuunda train wenyewe ama bado tutakua tuaagiza nje?
Hivi sisi tunaendelea kweli ama tuko palepale
i dont know about tz but najua kujiundia train ni process, wakenya washaanza kujifunza kutoka kwa wachaina kufanya general maintainance and part replacement polepole. With time tutaanza kuunda zetu
 
I deal and work with people who frequent Tz sana, mimi nimechukua mda, wanawadharau ama ku take advantage of your ignorance kwa mambo mengi, and they enjoy cheap things, kama kawaida ya nchi fukara, maisha iko chini sana, and affordable.., ila mpo mpo tu.., changamkeni dunia imebadilika, usijitekenye mjukuu kwa propaganda zako za ku force mambo..., mko below Kenya upende usipende..., starehe za pwani tunazo wala hatuwahitaji.., jikaze mtafika tu siku moja., mko hovyo kwa sasa., mkitoa tu bahari, nyie kwisha.., alafu outside Dar hamuna miji ya maana, Kenya sio Tanzania yenye ka Dar, city moja, sehemu mmekimbilia nyote kutafuta eti maisha.., vijijini ni ufukara tupu.., ndio maana mnakimbilia hadi Mombasa kutafuta maisha..., ๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ