Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Macho yako yakaruka pale pa "according to their official website" na yakaona tu "and Wikipedia". Must be an error of omission. Au JF hapo Dar haionyeshi hip sehemu?

Sijakataa mna 70km za reli dar mjini, ila Nai ina 160km za reli mjini, na ukumbuke ki ardhi no ndogo kwa Dar Mara tatu hivi kwahivyo rail per kmsq should be 5times more.

Sijaona popote mtandaoni kumeandikwa BRT yenu ina mabasi 600, nimeona tu ya 140 Mara mbili. Ukiweza kutupea hip tovuti tutashukuru.

Na BRT ni mradi mzuri sana katika kumaliza msongamano, Nairobi yafaa kuiga hilo na serikali imeiweka mpangoni. lakini mabasi 140 pekee hayawezi maliza daladala Dar, ikiwa Nairobi bus companies zina kwa ujumla mabasi takriban 4000 na bado matatu 16000 zasafirisha watu mjini. Na ukumbuke idadi ya watu Nairobi proper ni ndogo kuliko Dar, ingawa ukiongeza na metropolitan area itakua kubwa na asilimia hamsini hivi
 
Tanzanian lunatics know nothing about Kenya. ....Lowassa alishawapa ukweli na kujitia hamnazo ndio imewateka.hahaha. ....
 
watanzania kwa watanzania:
unafurahi sana kuona watz kwa watz wakitofautiana mitazamo...you sound like a defeated guy whose only weapon left is to see disunity or hostility takes among his enemies thinking it might weaken them.

i think you are unaware that even kenyans on JF do engage over each other.
tazama hii[emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji23] [emoji23]

[emoji115] [emoji115] [emoji115] [emoji115] [emoji115] [emoji115] [emoji115] [emoji115]
note that both guys above are kenyans,one from nairobi and the other one from mombasa.
 
Zipo mkuu,
[emoji116] [emoji116] [emoji116]
Nairobi city trains
View attachment 599669View attachment 599670
Kenyans are very aggressive, even during commuting trains
i'm so fascinated with the extreme poverty environment dipicted in one of your photos...oh lord!!,is that kenya the DC?...smh.[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]
 
photos they will never show us:
unfortunately this is how some white guys on instagram show to the world the image of kibera.
 
photos they will never show us:
unfortunately this is how some white guys on instagram show to the world the image of kibera.
 
nimeliamsha dude...[emoji122] [emoji122] [emoji444] [emoji444] [emoji445] [emoji444] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122]
 
Kenya kuna watu wanaishi kimbwa nguruwe sio kwa vijumba vile !!
 
We Kadoda11 waanza kunichimba sio??? ukinitafuta utanipata, huyo pumba si mkenya ila ni tapeli kutoka tandale masquerading as a Kenyan to con us ,but thank God I spotted him out at first stance .
 



huko ITV Tanzania si watanzania hutofautiana pia....hahaha. how desperate of you......we are talking about Jamii forum members on this thread
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…