THE BOILER ROOM
JF-Expert Member
- Sep 17, 2018
- 1,054
- 3,212
Jitahidi kufanya research kdg kwa vitu ambavyo huna utaalamu navyo kabla ya kukurupuka na comments tuWakenya tusaidieni kushangaa runway ya Jnia inashimo ndege kubwa haziruki wala kutua nimeona aibu mimi!
Poor serikali ya tz , shame shame shame!!!!
Hawa nyang'au makange wamejulia wapi? Kiungo wanachojua ni royco tu! [emoji23][emoji23]Hiyo makange ya samaki mbona imejaa sukuma wiki tu!
Au sio makange! [emoji23][emoji23][emoji23]
Mkuu mim ni engineer, lkn ni mwanasheria pia🤣.. usiogope, tiririka tu..Usimlaumu yawezekana kuna shida labda serikalini.
Si umesikia Jpm Bridge badala ya Feb 2024 Wametangaza itaisha mwishoni mwa 2024.
Nafikiri itafika 2025
Bwawa la NYERERE halijulikani linaisha lini.
Meli ilikuwa isukumwe majini mwezi Nov Tuko Dec sasa.
Miradi yote ya sgr haitaisha kwa wakati.
CAG akikagua anakuta tumelipa faini mabilioni kwa kuchelewesha malipo, lakini ziara za wanasiasa utasikia, "mkandarasi hatudai sisi ndio tunamdai kazi,
Sina mwana sheria
Mama anaupiga mwingi
Usije nitosa bwana, nyie watu wa MIGA hamchelewi kukimbilia ubeligiji kutetea mashoga😂😂😂Mkuu mim ni engineer, lkn ni mwanasheria pia🤣.. usiogope, tiririka tu..
Wewe Umeona mwenye transfers nyingi ni nani? Mna users wengi mara 2 yetu yet the difference ni hivi 🤏Si huwa mnasema mko na mobile money transfers nyingi kutushinda. 🤣 🤣
makange saa hio ndo gani tena masera.!?🤔Hiyo makange ya samaki mbona imejaa sukuma wiki tu!
Au sio makange! [emoji23][emoji23][emoji23]
Continue wishing mdanganyika [emoji23][emoji23]Sisi hatuna buses za jua kali kama hiyo ya Githurai hapo kwenye picha [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Het baboon, SGR can't make profits with passengers alone.Namna SGR yetu inapita kwenye mikoa yenye population kubwa ya watu, hii SGR itarudisha pesa mapema sana!
View attachment 2433512View attachment 2433514
Your understanding is very minimal. Account population doesn't mean the population of Kenya but instead it meant the total number of mobile money accounts in Kenya. Mimi Niko na 3 M-Pesa accounts. Most people have more than one mobile money accounts.Wewe Umeona mwenye transfers nyingi ni nani? Mna users wengi mara 2 yetu yet the difference ni hivi 🤏
Acheni kufake population
Wapi penye imeandikwa manufactured in Tanzania? And who is the manufacturer?Kwanini wakenya huwa wanaumia sana wanapoona bidhaa ya Tanzania inauzwa Kenya kuliko wanapoona bidhaa ya China, India au USA ikiuzwa Kenya?
View attachment 2433632
1960Continue wishing mdanganyika [emoji23][emoji23]View attachment 2435215
More people means more human activities like business, agriculture, mining, logistics, fishingHet baboon, SGR can't make profits with passengers alone.
Mnasafari ndefu.A City that Tanzanians call half London.
View attachment 2435270