chongchung
JF-Expert Member
- Jun 23, 2013
- 14,740
- 46,079
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Akirudi nitakuita
Una uhakika wao ndo wacheleweshaji?Estim ameanza kuboa sasa, kazi zake zinaenda kama konokono, hii barabara hata taa za barabarani mpaka leo hajaweka, road furniture nyingi mpaka sasa hajaweka na ni muda mrefu toka apewe hii kazi
Sijui anaweka nini hiki kwenye roadway median ambayo ni lanes za BRT
View attachment 2434577View attachment 2434578
Yupi ndio anachangia? Au certificates hazilipwi kwa wakati?Una uhakika wao ndo wacheleweshaji?
Huu ni uchafu wenu huko Naipori [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
kamau the masonry...!
Sio ajabu hela hazitoki kwa wakati, Na ingekua hela zimelipwa ungeona wanasiasa hapo wakifokaEstim ameanza kuboa sasa, kazi zake zinaenda kama konokono, hii barabara hata taa za barabarani mpaka leo hajaweka, road furniture nyingi mpaka sasa hajaweka na ni muda mrefu toka apewe hii kazi
Sijui anaweka nini hiki kwenye roadway median ambayo ni lanes za BRT
View attachment 2434577View attachment 2434578
Mkataba wa awali component ya taa za barabarani ilikuepo na walishakamilisha phase yote ikaisha, wakapewa phase 2 ya kutengeneza barabara ya mwendokasi na access road ya Magufuli terminal, huku bado component ya phase 1 ya taa bado hawajaweka mpaka phase 2 inaelekea kuisha, waliulizwa wakasema taa zipo njiani mpaka leo hazifiki!Sio ajabu hela hazitoki kwa wakati, Na ingekua hela zimelipwa ungeona wanasiasa hapo wakifoka
Issue ya taa nakumbuka walisema zinatoka SA na covid-19 ilileta mkwamo...sasa sijui sahv wanakisingizio ganiMkataba wa awali component ya taa za barabarani ilikuepo na walishakamilisha phase yote ikaisha, wakapewa phase 2 ya kutengeneza barabara ya mwendokasi na access road ya Magufuli terminal, huku bado component ya phase 1 ya taa bado hawajaweka mpaka phase 2 inaelekea kuisha, waliulizwa wakasema taa zipo njiani mpaka leo hazifiki!
Usimlaumu yawezekana kuna shida labda serikalini.Estim ameanza kuboa sasa, kazi zake zinaenda kama konokono, hii barabara hata taa za barabarani mpaka leo hajaweka, road furniture nyingi mpaka sasa hajaweka na ni muda mrefu toka apewe hii kazi
Sijui anaweka nini hiki kwenye roadway median ambayo ni lanes za BRT
View attachment 2434577View attachment 2434578
Mama ana uwezo mdogo sana, na wajanja wamempa doctorate ili kuwahadaa wananchi wampigie kura ashinde wao waendelee kupiga, yule mzee yule Mungu anamuona.Usimlaumu yawezekana kuna shida labda serikalini.
Si umesikia Jpm Bridge badala ya Feb 2024 Wametangaza itaisha mwishoni mwa 2024.
Nafikiri itafika 2025
Bwawa la NYERERE halijulikani linaisha lini.
Meli ilikuwa isukumwe majini mwezi Nov Tuko Dec sasa.
Miradi yote ya sgr haitaisha kwa wakati.
CAG akikagua anakuta tumelipa faini mabilioni kwa kuchelewesha malipo, lakini ziara za wanasiasa utasikia, "mkandarasi hatudai sisi ndio tunamdai kazi,
Sina mwana sheria
Mama anaupiga mwingi
Ukiangalia kwa makini watz tumejiandaa kua wasindikizaji hatuna uzalendo na uwajibikaji, Mtu unaejitambua hautakiwi kusubiri kusukumwa kutimiza majukumu yako, Hata Kipindi Jpm yupo bado kila siku alikua anagundua madudu yanafanyika, Wabongo wanachosha sanaMama ana uwezo mdogo sana, na wajanja wamempa doctorate ili kuwahadaa wananchi wampigie kura ashinde wao waendelee kupiga, yule mzee yule Mungu anamuona.
You wishHuu ni uchafu wenu huko Naipori [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Nairobi imeoza, how it became a city?You wish
Naona mabasi ya Danganyika ni world class [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nchi fukara sana. Hii mibasi ni ya kubeba ng'ombe kupeleka machinjioni
Sisi hatuna buses za jua kali kama hiyo ya Githurai hapo kwenye picha [emoji1787][emoji1787][emoji1787]You wish
The whole city sits on sewage.Nairobi imeoza, how it became a city?
It keeps decaying and rotting as days go!
View attachment 2434810View attachment 2434811
Si huwa mnasema mko na mobile money transfers nyingi kutushinda. 🤣 🤣Hivi Wakunya watafake population yao mpaka lini? Wanafake population data for the sake of GDP! 🚮🚮🚮
View attachment 2434683