Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Bafoon = Sama boy 255
 
bila Kenya wakulima wenu hawana lao.., jeuri ya pesa, poleni sana, ufukara wenu ni laana tupu., sio kupenda kwenuπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
🀣🀣🀣 Kweli wewe ni mbuzi.. tumezungukwa na nchi nane.. ikiitoa Kenya zinabaki nchi sabaa, chakula tunalima s
 
Inside that idiotic cage,
full of unhappy chickens πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

View attachment 2432652View attachment 2432653View attachment 2432654
Hii sio BRT yenu, wewe ni mtu bladfwakin kabisa πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ .., jiangalie mlivyo sononeka, vijakazi wa kampuni za wahindi, waarabu na za kiKenya wanaelekea uswazini jioni, wameteseka kweliπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚


Wanapelekwa hapaπŸ‘‡πŸ‘‡.., unaona kuna BRT stations.., πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

VS..,




 
🀣🀣🀣 Kweli wewe ni mbuzi.. tumezungukwa na nchi nane.. ikiitoa Kenya zinabaki nchi sabaa, chakula tunalima s
Hizo sio soko ya chakula chenu wacha ujinga.., mbona unabakia boya siku zote πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚
 
Hizo sio soko ya chakula chenu wacha ujinga.., mbona unabakia boya siku zote πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚
🀣🀣🀣 Kwahyo kumbe nyinyi ni soko tu, tunaeza badilisha tukitaka .. then nyinyi sio muhimu kwetu ..
 
Hii takataka🀣🀣vs πŸ‘‡.. ningekua wewe ningekaa kimyaa tu 🀣🀣🀣.. huoni aibu.?
 
Wakati wake hakukuwa na tozo za kijinga, umeme ulikuwa haukatiki, maji yalitiririka kila kona, kama ulikuwa disappointed na hayo, kichwa chako kinahitaji kuangaliwa.

wtf is this [emoji3][emoji3][emoji3]
 
Hii takataka🀣🀣View attachment 2432750vs πŸ‘‡View attachment 2432751View attachment 2432753.. ningekua wewe ningekaa kimyaa tu 🀣🀣🀣.. huoni aibu.?
Wacha tuchunguze kwa karibu, unajaribu kupotosha kwa umbali...,
Up-close..., porojo tunaumbua..,


Starehe kuliko BRT ya Tanzania., πŸ”₯ πŸ”₯ πŸ”₯ πŸ”₯ πŸ”₯ πŸ”₯ 😝


Kisha Station za commuter train (MGR) is far better than Tanzanian SGR na zile BRT kiosks..,

Nairobi central station..,


Embakasi Eastlands station..,

Entry at Ruiru station..,

Kikuyu Station
 
Poor people, hamuwez afford hata msosi 🀣🀣🀣 mnapewa msaada was chakula na Ukraine taifa lililovitani 🀣🀣🀣
Ukrain wanatafuta kiki, they are after our support ikija voting, hii sio size yako najua hautaelewa lolote, wewe ni liboya zezeta πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ , inaitwa smart diplomatic move kilaza, nobody asked for their actions.., jinyonge mapema, hamuna ushawishi wowote duniani nyinyi, mpo mpo tu.., taifa hovyo duniani πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚
 
We hunaga akili 🀣🀣🀣, Kwahyo na nyie kwasababu mnanjaa mkakubali kutumika sindio hivyo.? 🀣🀣 Ama kweli maskini hana msimamo.. waswahili wanasema "hakuna umoja wa wenye njaa akitokea mwenye chakula" our poor neighbor 🀣🀣
 
Pole nilijua sio level yako.., kaa pembeni..,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…