Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Pulse rate 48bpm wakati bp iko normal?
Tumia manual sphygmomanometer to measure BP and count pulse rate kwa vidole viwili kwenye radial artery ku counter check


Ukifanya mazoezi pulse inashuka, mimi huwa nakimbia 4miles (6.5km) karibu kila siku ndani ya dakika 31 na ushee. Umbali huo ni sawa na kutoka DIT (morogoro road) mpaka Urafiki.


Hii ni app ya Adidas nayotumia ku-track maendeleo ya mazoezi. Utaona hapo kwenye kilomita ya kwanza nimetumia dakika 4:26, ya pili 4:28 na kadhalika. Jumla ni dakika 31:23.
 
Kiswahili sanifu ni mghahawa. Ukisema mkahawani maana yake ni kwenye kahawa.

Hata kama ni supermarket lakini hapo ndani bado wana mghahawa wa kupata chakula na mighahawa iko kila mahali hata Airport kuna mighahawa.
 
Normal blood pressure ni 140/90 kiwango cha juu na 90/60 kiwango cha chini hiyo ndio cutoff inayotambulikana na WHO.
 
We jamaa ni Mpuuzi sana..kwahyo hapo nio unajiona muamerica tayari?...Nna uhakika hata Mke wangu anakuzidi kipato wala nisijiongelee mimi,lakini uko hapa ku brag na viazi na american Garden ketchup lol

Huo msosi haufiki hata Afutatu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Eti sophisticated Economy.
 
Normal blood pressure ni 140/90 kiwango cha juu na 90/60 kiwango cha chini hiyo ndio cutoff inayotambulikana na WHO.
sawa boss..
lakini jua google inasema high blood pressure is from 130/80 or more
then 180/120 is a medical crisis urgency..
as in, an ambulance emergency!.... 🤔🤔🤔
 

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…