Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Narudia hii ,
Kindly see how Dodoma residential areas look like ..
No city in Kunyastan comes close to Dodoma,
And imagine this is just a beginning

Halafu hata haturingi, haya mambo yangekua kunyaland mbona Africa ingekoma kuijua Kenya πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…

Kwa uchache kila nyumba hapo ni million 100 imelazwa hapo na watu wapo cool tu.
 
Halafu hata haturingi, haya mambo yangekua kunyaland mbona Africa ingekoma kuijua Kenya πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…

Kwa uchache kila nyumba hapo ni million 100 imelazwa hapo na watu wapo cool tu.
Unajua shida ya wakenya wengi hawana uelewa wao hufkiri tanzania ni ile ya 90s 🀣🀣 kumbe hawakujua nchi imejengwa kimya kimya sana tena kwa muda mfupi sana
 
Unajua shida ya wakenya wengi hawana uelewa wao hufkiri tanzania ni ile ya 90s 🀣🀣 kumbe hawakujua nchi imejengwa kimya kimya sana tena kwa muda mfupi sana
Mkuu iyumbu hiyo naijua kama kwapa langu, miaka mi5 nyuma kote hapo palikua pori yalikua majengo ya UDOM tu ila saivi ni balaa, na kwa nyuma kidogo ndio huu unyama umepita, ni dual carriageway barabara yote juu kitu cha bullet πŸ˜…πŸ˜…

 
Dodoma 5 yrs to come hakuna mji utakua wakisasa ukanda wote huu east africa na hioo wanalijua mbona πŸ˜†πŸ˜†
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…