Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Sasa onyesha mahali kipande cha dar kwenda moro tumekopa?mbona unazunguka sana
Commercial capital yenu si ni dar? Na capital ni dodoma. Nini unakana Reuters au ni magufala kakudanganya mlijenga kwa pesa za ndani? 😂😂😂
 
Labda nikupe taarifa uliokua huijui
Phase one 1.2b usd from gvt
Phase two 1.4b usd loan + 0.5b usd gvt
Phase five 1.5b usd gvt

Uliza ukiwa huna taarifa bro 😆😆😆
 
Leta ushahidi kua wamesaini wakachukua sasa ukipata nitag 🤣🤣🤣
 
Hawa kondoo ni washamba hakuna mfano.
Halafu ni waongo balaa eti wanadai eti hizo seats zina-turn ili kuwezesha abiria kuongea face to face na KR wana-post! Ila ukweli ni kwa ajili ya kugeuzwa mwisho wa safari maana treni zao vichwa (engines) vipo upande mmoja tu hivyo basi hungolewa na kuungwa nyuma ready to go back on a return trip!
 
Safi sana inapendeza.
 
Watu was sockets bado mko area? Since you are suprised by charging sockets ebu mniambie Hawa nap wanacharge aje?😂😂🤣

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…